Yaaan na wewe mdada unaungana nao kweli!!Jack hana akili kabisa,anataka wafute kuwa Mengi alikuwa na cognitive problems ili ashinde kesi ya urithi?Yaani ameishi na Mengi kwa miaka 9 basi anajiona kama kashiriki kutafuta mali na Mengi.Jack anataka Mengi asiwagawie hata mia wanae wakubwa eti kisa walipata share kwa mama yao.Sasa hawastahili kupata share kutoka kwa baba yao?
Kinje alishawahi chezeshwa sarakasi na huyu binti akakomaUnakumbuka miaka Ile interpol
Uko sawa mkuu!!Hakuna cha kupenda ndugu hapa, mume akifa ndio ndugu mnaanza kujifanya mna uchungu sana
Hapo hadi sahivi imeshakula kwao, hadi wanaanza kuweweseka eti wanamuomba wayasuluhishe , hahaahaha...ndugu ni mapepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Angempenda Mengi angependa na ndugu zake, yeye alikua na maslahi yake, ndugu za Mengi wamemu expose hivyo anachukia...
ZILIPENDWA!!Kinje alishawahi chezeshwa sarakasi na huyu binti akakoma
Hakuna cha kupenda ndugu hapa, mume akifa ndio ndugu mnaanza kujifanya mna uchungu sana
Hapo hadi sahivi imeshakula kwao, hadi wanaanza kuweweseka eti wanamuomba wayasuluhishe , hahaahaha...ndugu ni mapepo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shangaa na wewe mwayaaaah maaan me ndo Hadi naona aibu lolJack hana akili kabisa,anataka wafute kuwa Mengi alikuwa na cognitive problems ili ashinde kesi ya urithi?Yaani ameishi na Mengi kwa miaka 9 basi anajiona kama kashiriki kutafuta mali na Mengi.Jack anataka Mengi asiwagawie hata mia wanae wakubwa eti kisa walipata share kwa mama yao.Sasa hawastahili kupata share kutoka kwa baba yao?