Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Marehemu hakuwa mjinga.
alikuwa na akili timamu alipo kuwa anaandika wosia wake.
hakuna ubishi kuwa Marehemu na mjane waliishi maisha ya furaha na upendo hadi umauti unamkuta .
hivyo wosia huo ulithibitisha upendo wa Marehemu kwa Familia yake na Mjane.
ni kosa kubwa sana kuubatilisha na kuudhihaki Wosia wa Marehemu Mengi haswa tukizingatia kuwa Marehemu alikuwa ni mtu aliye heshimika ktk jamii ndani na nje ya nchi.
 
Wosia wakati akiuandika wewe ulikuwepo?

Atulize kipago mahakama ndio itakayo amua kama ana haki.
 
Ndo umeandika Nini Sasa[emoji3525]
 
Unalipwa sh.ngap kaka
 

Sahihi mbona tofauti
 
Madanga utawajua tu. Tafuteni mali zenu.
 
Jack bana.....😎😎😎
 
Mengi alishamuona uyu mwanamke Ni golddigger.

Na Mtu mhuni, dawa Ni kumfanyia uhuni TU na wewe[emoji2]

Mengi was very smart guy
Hivi mtu una ukwasi wa Mengi unamind kuchunwa na mtoto laini kama Klynn?
 
Kuna Watu wanatafutaga kulogwa Kwa nguvu zote, yani unakuta huna nia lkn anakulazimisha umloge.

Wallah ningekuwa mtoto wa Mengi huyo slay queen angeshaungana na Mengi.Ni haki yake kurithi lakini ndio arithi 100% ya Mali kana kwamba hakuna watoto wengine?Wamachame mmekuwa wazembe Sana Siku hizi
 
Wewe unajua sana kuliko mahakama kuu?
 
Jack bana.....😎😎😎
hahaha yani huyu Zandrano ndio mwenyewe kaja kujitetea hapa, ukitaka kujua ni Jacky just go and watch interview ya jacky na millard Ayo then uje usome hizo reply za zandrano and thank me later[emoji16], maneno like mume wangu , marehemu mume wangu, mume wangu, mjane, watoto wake etc yamejirudia in the same way but acts as a third part person is talking[emoji23].

Jacky zandrano relax, ni kweli ulikua mke pia and you have children, lazima utapata haki yako tu ya kile unachostahili, too bad that you will never get everything you wanted , wacha kujichoresha cas you sound like golddigger now, the picture you arw showing us is telling us a lot of stories like watu mwishoe tuanze kuhisi you did something to him like maybe u killed him ili upate what you wanted na imeturn tofauti so unechanganyikiwa, cas you push too hard watu waamini wosia ambao haumake any sense, why do you want everything? ulimpenda Mengi au ulipenda mali zake? because for me now naona ulipenda mali zake and you wanted all of them badly, at least omba hata 50% basi umake sense.

Wosia umekaa kimaandazi sana, yani ukiusoma badala ukupe relaxation unakupa maswali yasiyo na majibu, wosia kwa maoni yangu ulikua wa kughushi, cas hata mahakama ilijiridhisha signature haikua ya Mengi, taarifa ya kuugua na kufariki kwake ni comfusion tupu, how tjings handles ni taflani, how you realesed wosia ni vichekesho, how you push it ni mshangao, ukiunganisha dots unapata majibu kuwa Jacky killed the man, jacky is gold digger, jacky kuna watu wanamdanganya , jacky etc

Just chill ili watu wasikuwazie vibaya please, you can do better than this, ridhika with what you are about to get, patana na familia ili uzidi kupata opportunities, do your things , do business whatever or hata hama hamia Kenya ili concentrate , bobgo bakisha som few things like people says you have appartments well and good cas utakua unaingiza pesa bado, hama kajijenge ili uepuke aibu ndogondogo na kubwa.

Thats all Jacky zandrano [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…