Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Huyu Mjane atendewe Haki.

Nashangaa kwa nini taasisi za kutetea haki za wanawake haswa wajane wamekaa kimya?!

Huyu mjane ananyanyaswa na ndugu wa marehemu mchana kweupe!!

Anafanyiwa figisu na faulo kibao ili tu asipate haki zake.

lkn naamini vyovyote vile itakavyo kuwa lazima Haki zake zitapatikana
Haki ipi wakati mali zote anazotaka kuzimiliki kinyume cha sheria zote amezikuta!katika mali hizo hamna hata moja aliyowahi kuichuma na marehemu Reginald, sasa huko aendako anaweza kuja kuambulia patupu hata hizo chache ambazo pia ni kubwa, zaidi ya hapo anazidisha chuki juu yake kutoka kwenye familia ya Marehemu, muda utaongea
 
hahaha yani huyu Zandrano ndio mwenyewe kaja kujitetea hapa, ukitaka kujua ni Jacky just go and watch interview ya jacky na millard Ayo then uje usome hizo reply za zandrano and thank me later[emoji16], maneno like mume wangu , marehemu mume wangu, mume wangu, mjane, watoto wake etc yamejirudia in the same way but acts as a third part person is talking[emoji23].

Jacky zandrano relax, ni kweli ulikua mke pia and you have children, lazima utapata haki yako tu ya kile unachostahili, too bad that you will never get everything you wanted , wacha kujichoresha cas you sound like golddigger now, the picture you arw showing us is telling us a lot of stories like watu mwishoe tuanze kuhisi you did something to him like maybe u killed him ili upate what you wanted na imeturn tofauti so unechanganyikiwa, cas you push too hard watu waamini wosia ambao haumake any sense, why do you want everything? ulimpenda Mengi au ulipenda mali zake? because for me now naona ulipenda mali zake and you wanted all of them badly, at least omba hata 50% basi umake sense.

Wosia umekaa kimaandazi sana, yani ukiusoma badala ukupe relaxation unakupa maswali yasiyo na majibu, wosia kwa maoni yangu ulikua wa kughushi, cas hata mahakama ilijiridhisha signature haikua ya Mengi, taarifa ya kuugua na kufariki kwake ni comfusion tupu, how tjings handles ni taflani, how you realesed wosia ni vichekesho, how you push it ni mshangao, ukiunganisha dots unapata majibu kuwa Jacky killed the man, jacky is gold digger, jacky kuna watu wanamdanganya , jacky etc

Just chill ili watu wasikuwazie vibaya please, you can do better than this, ridhika with what you are about to get, patana na familia ili uzidi kupata opportunities, do your things , do business whatever or hata hama hamia Kenya ili concentrate , bobgo bakisha som few things like people says you have appartments well and good cas utakua unaingiza pesa bado, hama kajijenge ili uepuke aibu ndogondogo na kubwa.

Thats all Jacky zandrano [emoji4]
Mume wangu, marehemu mume wangu[emoji16]
 
I think wewe ni Regina/one of the family member, acha kumwaga kila kitu hapa, haki Yenu mtaipata..Maana ulichoandika ni ume rudia hoja zilizo kuwa zinatolewa mahakamani
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Haki zipi ambazo hajapewa? Hali? Watoto wake lini wamelala na njaa? Je, hawasomeshwi? Akumbuke tu kuwa life haliwezi kuwa sawa na kipindi Mzee Mopao akiwa hai!

Wakati ule alikuwa untouchable kwa kivuli cha Mangi mkuu[emoji28] kama hakujiongeza alifikiri maisha ni kubadili mapochi na designer clothes Dubai na kwengineko duniani basi apambane na hali yake!

Amedanga kipumbavu wacha aisome namba!
Bora hata angenunua maviwanja huko mbweni na kigamboni akaporomosha mibangaloo.

Assingekosa hela kamwe

Amedanga kipumbavu
 
Yani huyu K-Lynn anazidi kudhihirishia uma wa watanzania kuwa yeye ni Zwazwa! Hakunaga urithi wa namna hio aisee! Kwamba Mengi awasuse watoto wake wa damu aliofungua nao uzazi kisha ampe mali zote bi. mdogo?

Yeye analiona hilo ni jepesi tu kuwazulumu watu wazima wenye akili na exposure japo wanaweza kuwa na umri sawa nayeye!
Wamemzidi umri wote wale

R na A ni wakubwa kiumri kwa huyo cheupi hamnazo
 
Hivi mtu una ukwasi wa Mengi unamind kuchunwa na mtoto laini kama Klynn?
Sometimes pussy is not everything to go for it.

The world is full of beautiful women

May be she has done some tricks,may be the deceased was Bewitched ,who know or he was mentally unfit for her to take an advantage.

Amedanga kipumbavu
 
Back
Top Bottom