Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jamani tuache ushabiki tuweke ukweli mbele. Wewe kwenda kwenu kama hujawataarifu huwa wanakukataza kuingia ndani? Na tena Jacky anaenda tu kuangalia kaburi anarudi kwenye mji wake; wao ndugu wa Mengi inawacost nini?

Mbona unapotosha dada/ mama/Kaka yeye mwenyewe kylin amesema anatakiwa atoe taarifa akiwa anaenda pale kwenye ule mji , ile nyumba sio kama makabuli ya public kuna uzio na watu wanaishi

Kutoa taarifa ni lazima kwa Sababu ni nyumbani kwa watu

Kwetu kwa wazazi wangu naenda bila taarifa, lakini kylin pale sio kwao ni mji wa Mama mercy Mengi na watoto wake
 
Mbona unapotosha dada/ mama/Kaka yeye mwenyewe kylin amesema anatakiwa atoe taarifa akiwa anaenda pale kwenye ule mji , ile nyumba sio kama makabuli ya public kuna uzio na watu wanaishi

Kutoa taarifa ni lazima kwa Sababu ni nyumbani kwa watu
Jamaniiii

Amesema wanazuiwa na kufukuzww; so obviously alifika hadi pale nyumbani akakuta mtu/watu ila akaambiwa hawezi kuingia kwa sababu hakutoa taarifa; au mimi ndo bichwa langu gumu? Ingekuwa amefika na hakuna mtu kwa wakati na hakuwa ametoa taarifa prior basi hapo ingeeleweka vizuri tu kwa sababu labda wenyeji wake walikuwa na ratiba za mbali. Btw hapo nyumbani yupo tu Benja au kuna na mtu/watu ambao wanashinda hapo?

Kwenda bila taarifa ndo afukuzwe????????
 


Huyo shetani wa kinyarwanda alikua anaficha mzee akiumwa hata malaria alikua hawaambii ndugu na aliwazuia wasiende kumuona alizuia walinzi wasiluusu ndugu wa Mzee Mengi. Kwenda kumuona, alidhani akiluusu ndugu wamuone wangemuokoa na yeye alitaka Mzee afe

Na simu Mzee alikua anapokonywa hasitoe taarifa kwa ndugu zake
 
Wewe ni ndugu yake Mengi? (Samahani lakini ningependa kujua kama mzee Mengi aliwaambia hilo yeye mwenyewe). Sasa baada ya kupona kwa nini hawakuchukua hatua madhubuti wakaendelea kumuacha mzee wa watu ateseke na mnyarwanda?
 


Hata kama Benja yupo hapo kwa nini aende bila hodi , watu wana privacy zao , kwa nini ashtukize

Afate taratibu za kichaga atoe taarifa aone kama watamzuia

Shida alitaka kuitawala na kuisambalatisha ile familia
 
uko wapi wewe nikupe bia mbili hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha kumtetea mdangaji yule
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama Benja yupo hapo kwa nini aende bila hodi , watu wana privacy zao , kwa nini ashtukize

Afate taratibu za kichaga atoe taarifa aone kama watamzuia

Shida alitaka kuitawala na kuisambalatisha ile familia
Aaah kumbe ni taratibu zao za kichaga; nilijua kama huku kwetu unyakyusani ukishuka tu stendi unaweza kuangua tu kilio hadi makaburini
 
Tukisema Babu alilishwa maneno na mjukuu wake akaamua kuyaweka katika maadishi utakataa?

Sent using Jamii Forums mobile app


Waliandaa ile will then waka draft vizuri kabisa ikawa printed then wakamsainisha Mzee Mengi wakati anaumwa

Ndio maana hata mwanasheria aliesimamia kusainisha lile Zoezi la Will kwa upande wa Mzee Mengi ni Mwanasheria wa vichocholoni sio wanasheria wa Mzee Mengi wa IPP

Walijua wakitumia wanasheria wa kampuni issue ingebuma na Kuvuja mapema
 
Tatizo ana walimu vipofu, Ila umemshauri vizuri sana, hakuwa na sababu ya kukimbilia mahakamani kama angepata mtu kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akili nyingi sana wewe yule mwanamke ni mjinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mali zipi wakati hajamilikishwa chochote? Hukuona alikuja lia mitandaoni kuhusu watakaonunua mali za Mengi R

Sent using Jamii Forums mobile app
Atubu kwa kumsainisha mzee Mengi wosia wa kishenzi kama ule, eti 'yeyote atakaepinga wosia huu mahakamani na kushinda apewe shs.1,000/=' si utapeli huo? Yaani mtu kashinda kesi halafu apewe 1,000/=, si ni jukumu la mahakama kusema nani apewe nini kwa na kwanini? Tapeli hilo..
 
Ndugu zangu watz,naomba niwambie nipo mbez dsm wakati naanika uzi huuu,

nimeona kupitia mitandao ya kijamiii kuwa heti mke wa meng zengwe limeenza na linatokea uchagani?

kwanza naomba niwashauli ndugu wa matehemu Mengi kuwa jakline alimkatia kiuno mengi hiv nani aliwai mkatia kiuno kati yenu?
pili mzeee si aliacha usia? kati yenu mliofungua jarada la kesi ni nani alikuwepp?
ke alimubal polepale?
e



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…