Watanzania bado Kama bado roho mbaya ,chuki na mihemko watu hamfikirii hata wale malaika watoto wadogo mnajenga chuki matabaka,
Kwani mke halali kurithi Mali za marehemu kwa ajili ya watoto shida iko wap? Mnajua kavumilia mangapi mpaka mzee kufia mikononi mwake mbona asifie kwengine ??
Too bad kwa watoto !!
Wamachame kwa hili tumekwama sana!! Regina hajazaa hajui hata kulea wala uchungu huyu ukijumlisha na sumu waliochiwa na mama yao ! Muamuzi wa hii vita sijui ni nani?????
Take a heart mama yatapita I can imagine familia & ukoo mzima tena koo mbili ya mama mercy na mengi against mtu mmoja Jack!!
Sent using
Jamii Forums mobile app