Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Ni mtihani kwa kweli

klyn walau awagawie katika vile alivyoachiwa na mzee pia
Yaonekana ye ndo ana mali nyingi zaidi
 
Ila Afrika wajane wengi wanaonewa jamani. Afu cha ajabu wanawake wengine nao wanachekelea sijui kisa wivu kwa Jacky. Jamani eeeh mzee Mengi waliachana na mkewe kwa sababu zao binafsi; jacky hakuhusika. Kahangaika na wanawake wengi tu ndo kuja ku-settle na Jacky.

Tena jamani me naona hata Jacky hana mashauzi; kwa yale maisha waliyokuwa wanaishi angekuwa mwingine tungeonyeshwa hadi vijiko. With all due respect; sioni sababu ya Jacky kuzuiwa kuona kaburi la mume wake hata kama lipo kwenye boma la nani sijui; alikuwa ni mumewe so ana haki zote za kwenda kumtembelea mahali alipolala.

Na kwa watu wenye pesa kama Mengi; hata angekuja kuoa mwanamke mzee mwenzie bado huyo mjane angeisoma tu namba; angeitwa tu gold digger. Let her be for God's sake; wangejitahidi tu kumkatalia baba yao asimuoe kama wangeweza. Wanachokifanya sasa hivi sio ubinadamu; kama mambo ya mali wamalizane mahakamani ila sio kumzuia Jacky na watoto kutembelea kaburi.
 
Wamachame kazeni hivyohivyo.

Mnyoosheni hivyohivyo.
Anataka kuja kwenye boma la mercy kufanya nini? Ama hajui tamaduni za kichagga? Angetaka haya yote basi angemake peace na famuly. Boma lake si kule karibu na mlimani? Huku apaache kama palivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwenye hilo boma la Mercy yeye ametaka umiliki au ameenda tu kumtembelea marehemu mumewe? Kumake peace na familia inategemea na familia yenyewe kama inataka amani kweli na katika mazingira/conditions ambazo hazimkandamizi Jacky. Tunajua Afrika na uroho wa mali; wanatamani Jacky awaachie kila kitu; afu watoto wake waishije kwa mfano? Shameeeeee
 
Kwani lazima kwenda makaburini?

Anataka kuonesha nini!? Kwamba ana mahaba na marehemu mumewe?

Hebu atulie huko! Au aje alipe fees kwa mawakili wampe ushauri!
 
Ni mtihani kwa kweli

klyn walau awagawie katika vile alivyoachiwa na mzee pia
Yaonekana ye ndo ana mali nyingi zaidi
Baadi ya ndugu wa mume wa mume wenye uroho wa mali utawaweza? Hata awape nini;bado watataka hadi na vijiko. Kama Mengi alifanya mgao kwa utashi wake; kila mtu apambane na hali yake aisee. Akisema awafurahishe ndugu wa mume; wale watoto tutawaona St Kayumba. Awape mali akijisikia tu kwa upendo wake binafsi; not to win over their hearts. Binadamu haturidhiki
 
Kwenye hilo boma la Mercy yeye ametaka umiliki au ameenda tu kumtembelea marehemu mumewe? Kumake peace na familia inategemea na familia yenyewe kama inataka amani kweli na katika mazingira/conditions ambazo hazimkandamizi Jacky. Tunajua Afrika na uroho wa mali; wanatamani Jacky awaachie kila kitu; afu watoto wake waishije kwa mfano? Shameeeeee
Mali za Mengi lakini wanataka ziwe za kabila zima. Mwenye mali ndo anagawa na ameshagawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo aachane na kabuli yeye adili na mali zake za uku Dar,Na yeye awakomoe siku wakija Itv awaambie walinzi wasiingie ndani hao ndugu
 
Wewe ndo mtetezi wa k lyn? Anaonewa kivipi? Tena ana bahati sana kwa hao. Kwetu asingekanyaga. Ashukuru busara zilitumika.

Nani amwonee wivu? Halaf ni yeye tuu tunameona akilalamika mitandaoni. Mbona watoto wako kimya?
What is side b story?

Wazazi wangu wachume mali kwa taabu tena mama yangu ndo awe mchangiaji mkubwa halafu mdangaji from nowhere aje kusnatch tuu.

Mwenyekiti wa wajane dasilamu yuko wapi jamani? Na hata akashinda tunajua mbinu kadhaa zimetumika. Heaven Sent,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambao hamjafiwa ni rahis kusema kaburi la nini aliyekufa kafa , ila ombea yasikukute, kufiwa na mtu wa karibu utatamani kila siku tu ukakae kwenye kaburi ulie wee na kuondoa machungu, hii pia ni tiba kwa afya ya mwili na akili.

Marehem alimpenda jacky dunia nzima inajua, kitendo cha kumzuia kwenda kumuona sio sahihi tena kwa mtu ambaye alikua ana lala nae mpaka kuzaa nae


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom