Jafo aagiza walimu wapya walipwe Fedha za kujikimu ndani ya siku 7

Jafo aagiza walimu wapya walipwe Fedha za kujikimu ndani ya siku 7

Kumbe huwa hakuna utaratibu maalumu wa kutoa hizo pesa paka waziri atoe tamko!, asinge toa hilo tamko je?.
 
Hii Nayo Ni Aibu Aibu Aibu Kwa Watendaji
Yaani Bila Tamko Wangesota Mpaka
Kila Jambo Tungoje Tamko
 
Alikuwa wapi watuwameteseka hivi .jaziona siku za jafo hapo wizarani ni chache saana
Yaani kuendesha nchi kwa matamko ni ngumu sana!!badala ya mifumo kufanya kazi yenyewe tu, yaani jambo linashindwa kufanyika kwa miezi sita, ila linaweza fanyika ndani ya siku mbili, endapo mkuu/waziri/katibu mkuu, RC, DC, atatoa tamko!!na ukiangalia wanayatoa matamko hadharani ili waonekane, na kama hizo pesa zilikuwepo ila kuna watu hawakutimiza majukumu yao, wanachukuliwa hatua gani?!!!
 
Nimeona niliseme hili kwa kifupi, ili wadau wengine waliona kwa upana zaidi. Haya ni sehemu ya maisha yanayogusa watu, mtu ndo kaanza ajira hana chochote, inakuwaje wakurugenzi na naafisa elimu wakae kimya!?
Mshahara wa December mlilipwa?
 
Nchi hii ina watendaji wabovu sana tena na siasa inaingilia kati basi kila kitu huenda according to politics.
Angeanza na madai mbalimbali ya watumishi yanayohatamiwa huko tamisemi !!
 
Maneno ya kisiasa huenda kisiasa..DED wa maeneo mengi wanakimbia ofisi zao kwa sasa.
 
Hongera Mhe. Jafo kwa kutetea haki za watumishi.
hakika hakuna haki ya msingi kama mshahara wao hilo ni jasho lao wanastahili bila kucheleweshwa. binafsi huwa sipendi kuona watu wananyanyasika kisa wamecheleweshewa stahili zao.
kama kuna malimbikizo ya mishahara yao pia walipwe...manunguniko yao sio mazuri hata mbele za Mungu.
 
Back
Top Bottom