Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

Nyang'au mkubwa wewe.
 
Taarifa zisizo rasmi toka Kenya zinasema kwamba, baadhi ya watanzania wanaoishi na kufanya biashara jijini Nairobi wameamua kutofungua biashara zao, na wengine kuvuka mpaka wa Namanga ili kuhofia maisha na biashara zao.
 
Sijawahi kuwa na imani na wakenya
 
Taarifa zisizo rasmi toka Kenya zinasema kwamba, baadhi ya watanzania wanaoishi na kufanya biashara jijini Nairobi wameamua kutofungua biashara zao, na wengine kuvuka mpaka wa Namanga ili kuhofia maisha na biashara zao.
Umewaona wakifunga biashara zao ukiwa huko huko Uwanja wa Fisi?
 
Unaelewa maana ya taarifa zisizorasmi?, wewe unategemea nini kama mwanasiasa anahamasisha mashambulizi kwa wageni na hakuna kiongozi yoyote aliyetoka hadhari na kuwahakikishia usalama wao na Mali zao?
 
Huyo nguchiro katia kiberiti nyumba yake mwenyewe ili aote moto
 
Si hawa hawa wanasema wa-Tanzania ni wavivu hawajui biashara, blah blaha, blåa...
 
Unaelewa maana ya taarifa zisizorasmi?, wewe unategemea nini kama mwanasiasa anahamasisha mashambulizi kwa wageni na hakuna kiongozi yoyote aliyetoka hadhari na kuwahakikishia usalama wao na Mali zao?
Jina lingine la taarifa zisizo rasmi ni umbea. Umbea ni haramu kwa wanaume.
 
Nimekuuliza, ungekuwa wewe unaishi Tanzania, kuna mwanasiasa,tena toka chama tawala anahamasisha mashambulizi dhidi ya wageni, na hakuna kiongozi yeyote aliyekanisha, wala vyombo vya ulinzi na usalama havikuhakikishii usalama wako, utapuuzia?
 
I sincerely hope Tanzania imemuita au kumuandikia Balozi Kazungu atoe ufafanuzi wa hili jambo.
 
Halafu ujue wengi wa hao jamaa hutokea Moshi na Arusha sasa wakiwafurumusha Nairobi wawe tayari kukabili ghadhabu zao kwa Wakenya wanaoishi Arusha na Moshi.
 
Walivyojazana huku Tanzania, Kama watanzania wakipata pepo kama hilo la kwao. Watakaoumia ki uhalisia ni wao.
 
Halafu ujue wengi wa hao jamaa hutokea Moshi na Arusha sasa wakiwafurumusha Nairobi wawe tayari kukabili ghadhabu zao kwa Wakenya wanaoishi Arusha na Moshi.

Dah IMEKULA kwao watu wa Kaskazini wakipandisha hasira huwa hawaelewi mtu. Ndani ya masaa kadhaa hamna mkenya yoyote atakaebaki Moshi +Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…