Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

Sisi huku tutaanza na mke wa Kiba then Tanasha. Ni ujinga tu kufikiria wageni wanachukua opportunities zenu. Survival of the fittest.
 
Sisi huku tutaanza na mke wa Kiba then Tanasha. Ni ujinga tu kufikiria wageni wanachukua opportunities zenu. Survival of the fittest.
Halafu na demu wangu Irene wa Lang'ata. Hebu wajaribu kama watasurvive
 
Mara kibao tu alikuwa anakuja tz -- na ana pewa support kubwa tu ... Mara hii amesahau fadhila zote
Mtu habadiliki hivihivi kuna jambo...
Ama kuna ujinga anaogopa kuambukizwa!?
Mbagueni tu kwani analazimisha udugu?
 
Huyu jamaa anataka kutuona Wa -Tanzania hatua masikio!!! Ati anakanusha kutaka Waganda naWatanzania kufukuzwa. Anadai kauli yake iliwalenga Wachina😇😇

 
Huyo hajui impact ya hayo anayotaka kuyafanya,hajui kuwa kuna investors wengi sana wa ki kenya wako huku na wana mitaji mikubwa sana!wajaribu kufanya hayo wanayofanya halafu wasikie kilio kitakachofuata...
nadhani ttzo ni shule n bangi aliyovuta utotoni,
 
Huyu fala alikuja Tanzania wiki mbili zilizipita next time we need to give him a lesson
 
Kwani kuna mtu ana nyimbo za huyo bwege kweli!!!??? Sijawahi ona/sikia chochote cha kunivutia katika nyimbo zake.
 
Wewe kuna ndugu yako yeyote kule Kenya???, wewe utakua myonge kabisa, endelea na elimu yako ya kusadikika.
 
Mbona juzikati alikuja Clouds 360 kutafuta mchumba Ngoma akamlengesha kwa Wema Sepetu!
 
Mbona tunasikia huku kwetu biashara zinafungwa kila uchao na wawekezaji wanatukimbia?
Inawezekana kuna kisasi kinalipwa...
Ikiwa wenyewe kwa wenyewe tunabaguana kivyama, kabila na dini WAACHENI WATUBAGUE TUNAVUNA TUNACHOKIPANDA
Nilitaka kukuita Qu.m@ lkn ngoja nikuache tu.
 
Alichosema jaguar ndiyo mawazo ya wa kenya wengi!
 
Huyu jamaa anataka kutuona Wa -Tanzania hatua masikio!!! Ati anakanusha kutaka Waganda naWatanzania kufukuzwa. Anadai kauli yake iliwalenga Wachina[emoji56][emoji56]

Yaani nimemsikia pumbavu. Ana jitetea baada ya kuona kuwa amekwisha haribu
 
Wapigeni kwanza wachina, tuoeni kama unaweza kumpiga mtu anaekudai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…