Tusubiri NEC waamue mbona mnataka kujipa madaraka ya NEC? msilete hoja za ajabu zenye kuleta malumbano yasiyo na maana humu ndani, kila kitu kitaenda kadri kilivyopangwa jamani musiwe vihelehele kuwasemea wahusika.
NEC waamue mara ngapi? Mbona Serikali imeshatangaza kwamba kura ya maoni haitafanyika April 30 na NEC watatangaza tarehe mpya siku za usoni.
WAMETANGAZA LINI ACHA KUDANGANYA WATU HUMU NDANI!! ETI SERIKALI IMETANGAZA TAYARI WAPI NA LINI? Hahahahaha
Hoja yako nini ndugu pamoja na picha ya binamu yako uliyotuwekea. Kwa picha ya mtu huyo inaonekana umetulia ila sina hakika kama unajua unachokifanya kweny JF. Au ndo umeamka bado unatafakari ndoto yako kwa maana hujasema kitu. Kama una hoja karibu twendelee mr. Rocky.
Lakini ilimradi si uelewe kaka au? hata kama ni gunia moja la mistari.Kwani hapa wewe umeandika nini mbona sijakuelewa ulichokiandika
Sijajadili mada ila ni katika kumpa ushauri aliyequote habari nzima na kuandika mistari miwili
Sasa wewe sijui umekurupuka kusema nini hapa na niliyemwambia ameelewa sasa sijui wewe hili uliloliandika unamsaidia au unaendeleza mchuano
​Wengine hatuandiki vitu kwa kukurupuka kama wewe, ukija hapa uwe makini achana na kukurupuka.
Lakini ilimradi si uelewe kaka au? hata kama ni gunia moja la mistari.
kwani kimeharibika nini kaka au nimejaza server peke yangu?
Ndo upeo wa akili yako umeishia hapo, umeona faida ya kudanganya eeenh? ndo unajibu hivo "home" hahahaha pole sana kwa dongo nlokupiga.
Tatizo lako hujajitambua; jaji Bomani hajasema kuwa anaisemea NEC bali akiwa kama mzoefu wa mambo yanayohusu katiba za nchi alikuwa anatoa ushauri kwa hawa vilaza ili kuepuka vurugu kutokea!!
Watu wengine hawaeleweki humu wasamehe bure tu.hapa mimi na wewe tulielewana ila nashangaa kuna mtu kajitokeza kaongea mambo ambayo hata sielewi yalitoka wapi
na chanzo chake ni nini tena
Unanichekea mimi mmeo?Hahahahahaha lol!!! Wewe juha bofya hapo uone kilichoandikwa humo badala ya kukurupuka na kuonyesha jinsi ulivyo nyuma katika utumiaji wa mitandao. Bofya hapo ukasome Pinda kasema nini. Kwi kwi kwi kwi lol!
hapa mimi na wewe tulielewana ila nashangaa kuna mtu kajitokeza kaongea mambo ambayo hata sielewi yalitoka wapi
na chanzo chake ni nini tena
​Mkuu Mr Rocky achana naye huyo asikupotezee muda wako Mkuu. Happy Easter Mkuu.
Watu wengine hawaeleweki humu wasamehe bure tu.
Huwa sipendi kubishana na hata nilivyokuta comment yake ningeweza kuiacha na kuendelea na mambo mengine ila nimeona nimjibu tuu
pamoja mkuu
Utaolewa na ROCKY muda si mrefu.