CCM walipanga mauaji hayoTume ya Uchunguzi iligundua kuwa ghasia za Oktoba 29, 2025 hazikuwa za ghafla bali zilikuwa na mpango mkubwa wa kuratibiwa. Ushahidi ulionyesha zaidi ya mbinu 16 zilitumika katika maeneo 202 katika mikoa 14 na wilaya 43. Walitumia mkakati wa dispersal violence ili kuwachosha polisi na kufanya majibu ya usalama kuchelewa. Vijana walikuwa wakifundishwa kwa siku zaidi ya 28 katika kambi za siri. #TumeYaChande
#TumeYaUchunguziReport
Haki Bila UpendeleoView attachment 3583949