PostGE2025 Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
CCM walipanga mauaji hayo
 
Tume ilichambua nia, mikakati na malengo ya waliopanga na kutekeleza ghasia. Ilitofautisha vitendo vya ghafla na vile vilivyopangwa kwa makusudi ili kufikia matokeo ya kisiasa au kijamii. Ushahidi ulionyesha baadhi ya vitendo vilikuwa na mpango wa kuleta machafuko #SautiYaWananchi
#TumeYaUchunguziReport
Ripoti Ya Tume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…