Jaji Eliezer Mbuki Feleshi anafaa kuwa AG

Ingekuwa siyo ukada na kufichia mambo inayozingatiwa na mamlaka ya uteuzi, nafasi hiyo anastahili Tundu Lissu.
 
Yaani watu wahuni na walevi Kama Feleshi awe AG....

Ila yote yanawezekana maana alipoteuliwa kuwa DPP wengi hatukuamini na alipopewa ujaji tukapigwa na butwaa ngoja tusubiri ajabu lingine....
 
Kwanza Feleshi ashitakiwe kwa kupokea rushwa kutoka kwa Iddi Simba na Simon Kisena aliyopokea kwa ajili ya kuondoa kesi ya UDA

Hujui nini kilitokea bora uulize, nmeigusia huko juu, hii ni sehemu moja inayotilia shaka uadilifu wa Hossea, baada ya ushahidi kuonesha Kisena pia anatakiwa kushtakiwa, na kwa kuwa Hossea hakutaka Kisena ashtakiwe, akaamua kuficha ushahidi na hivyo kufanya kesi kupoteza umaana wake, kesi ni ushahidi, na kwa kuwa DPP si chombo chunguzi hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kuiondoa kesi hiyo mahakamani.
 

Observation noted!!!
 
Wakati wa kuwapendekeza tunawaona wazuri, yakitokea, tunawaondolea utu wao!
 
Yaani watu wahuni na walevi Kama Feleshi awe AG....

Ila yote yanawezekana maana alipoteuliwa kuwa DPP wengi hatukuamini na alipopewa ujaji tukapigwa na butwaa ngoja tusubiri ajabu lingine....

Acha upumba.vu, samahani kama nimekuwa mkali kwa hili, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, kama humfahamu mtu ni bora ukakaa kimya, nimefanya kazi na huyu jamaa na nakuhakikishia sidhani hata kama anajua radha ya pombe ikoje, jamaa ni mcha Mungu na muadilifu hasa, kama kuna mengine yaseme lakini kuhusu uadilifu Feleshi ni miungoni mwa watu wachache sana walobakia Tanzania, uliza wanasheria wa serikali watakuambia.
 
Deputy AG Masaju ni muadilifu na mchapakazi atosha.
 


Ha ha ha ha haaa only in Tanzania mpaka nafasi nyeti watu wanatumia wapuuzi kuwapigia kampeni kwenye social media networks....

Unamfahamu vizuri Elieza Felleshi? Ha ha ati sio mlevi? Ninamfahamu jamaa toka akiishi Mwanza ni mlevi hatari na mhuni mhuni hivi sasa unapinga nini? Halafu mbona povu??

Yaani vyeo ambavyo ni dhamana Leo vimekua ulaji?? Dhamana inapigiwa kampeni??

Kazi IPO...
 
Binafsi naamini watu wapo na waadilifu sana. Tatizo kubwa ni kuwa mfumo wa Tanzania kwa sasa unawanyima nafasi watu ambao ni waadilifu kwa kuwa ni adui wa wengi. Kwa hiyo mtu yeyeyote ambaye umma unamwona kuwa ni mwadilifu uwezekano wa kuteuliwa ni mdogo. Moja kwa kuwa anaweza kabisa kukataa kwa kujua watamdhalisha kwa kumlazimisha namna ya kufanyakazi kwa matakwa maalum hivyo kumfanya siku ya mwisho aonekane si lolote Pili ni kuwa mwadilifuni hatari/adui wa mfumo uliopo.


So hoja y kuwa hakuna wau siyo kweli wapo.Tunatatizo la kuangalia watu ambao ni waongeaji au watafuta maslahi na kuacha sehemukubwa ya waadilifu na wazalendo ambo mfumo wao wa kufanya kazi n tofauti na watu wazuri/masahi.
 

Dr. Feleshi kila siku ukitoa jmosi ambapo huingia saa mbili na kutoka saa kumi na mbili na jpili ambapo huingia saa nne na kutoka saa kumi na mbili, huingia ofisini saa kumi na moja alfajiri na kutoka saa tatu usiku, huo uhuni na ulevi labda ni wa kimtazamo huu, jamaa alivyo lazima ujiulize mala mbili mbili umwingieje kumuhonga.
 

God bless you.
 



Feleshi hawezi kuwa Mwadilifu hata kidogo wakati ni mtu anaewachukia waislaam kwa kiwango cha kutisha,ni mbaguzi na Mdini aliepindukia.

ni Feleshi ambae mtuhumiwa wa mauaji Lulu Michael alipewa dhamana lkn Shekh Ponda Issa Ponda akazuiliwa dhamana.

Kila Mwislaam aliekamatwa wakati Feleshi ni DPP ,alionewa kwa kiwango kikubwa.

Feleshihafuati utaeala wa sheria ,yeye anaongozwa na imami ya dini yake.

Feleshi ni mshenzi kama washenzi wengine.
 
Nashauri JK asimteue tena Jaji kushika nafasi ya mwanasheria mkuu..bora atafute wanasheria wenye qualification zao lakini majaji hapana..evidence Werema
 
Mbona hujagusia kuhusu zile 'Nolle prosequi' tata alizokuwa akitoa alipokuwa DPP..
 

Kama ushahidi haukuwa ukithibitisha intention of murder unadhani utathibitisha vipi mauaji? hakuwa na kesi ya murder wakati anapewa dhamana ilikuwa ni manislauta, ugaidi hauna dhamana.
 

Tatizo la hiyo post ya AG ni kwamba Serikali ya ccm imepanga kumweka kada wa chama chao,sasa feleshi siyo kada mzuri wa ccm hivyo ni vigumu kupata hiyo post kwa kuwa magumashi yao ccm yatakwama akiwa AG,mimi binafsi kiukweli namkubali Feleshi he is a hard worker na siyo mtu wa kukurupuka
 

Conscious, matured and full of wisdom!!!
 
Hebu tuanzie na alipokuwa DPP mazuri yake. "outstanding perfomance" hiyo unayoizungumzia tuiangazie wapi??!!!

Kuwa wa kwanza kufika ofisini na kuwa wa mwisho kuondoka. Bila kujali zile null proseque alizokuwa anazipiga kifisadi, kesi za kigaidi bila evidence ya kutosha na kipindi chake kutowahi kushinda kesi hata moja chini ya wanasheria wake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…