Tunkamanini
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 377
- 93
- Thread starter
- #61
Kuwa wa kwanza kufika ofisini na kuwa wa mwisho kuondoka. Bila kujali zile null proseque alizokuwa anazipiga kifisadi, kesi za kigaidi bila evidence ya kutosha na kipindi chake kutowahi kushinda kesi hata moja chini ya wanasheria wake....
Nlisema kama jambo hulijui uliza, unadhani utashinda vipi kesi kama hauna ushahidi wa kutosha? nimetolea mfano kesi moja ya UDA ambayo humu mliipigia sana kelele, Dr Hossea hakutaka Feleshi amjumuishe Kisena kwenye kesi kama mtuhumiwa na badala yake alitaka atumike kama shahidi wakati ushahidi ulikuwa wazi kwamba Kisena and Co walihusika kijinai.
Dr Hossea akahujumu ushahidi ili kumuokoa Kisena na Riz1 hivyo kesi kukosa ushahidi na kupelekea Dr Feleshi kuiondoa mahakamani, nilishangaa sana watu wakimlaumu Feleshi kwa hili badala ya kumpongeza, hamumjui Feleshi msimjaji.