Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika anajua kazi yake kweli? angekuwa anajua kazi yake angeshindwa vipi kuchukulia hatua za kinidhamu wateule wake badala yake ni mpaka kapata shinikizo la nje?
Mtu kajiuzulu kutokana na matumizi mabovu ya ofisi na yenye harufu ya kijinai then Raisi anampongeza na kumpamba eti uongozi wake ulitukuka na ulisheheni uadilifu!!??? Shame, shame shame...only in Tanzania.
Kutokana na kujiuzulu kwa aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Werema ni wazi sasa nafasi hiyo inabaki wazi.
Kwa walio wadau wa tasnia hii ya sheria nadhani wataungana nami pasina shaka lolote kuwa kutokana na nafasi hiyo kuwa nyeti kwa ustawi wa Taifa lolote lile duniani, inahitaji kushikiliwa na mtu mwenye nidhamu, weredi na mwenye uadilifu wa hali ya juu.
Kwa wasomi na wanataaluma wa sheria nchini wenye sifa hitajika ni adimu sasa kwa taifa letu hili kwa sasa, binafsi namfahamu vyema Mhe. Jaji Feleshi licha ya kufanya nae kazi kwa muda wa miaka michache lakini ni mtu ambaye ukimweka na viongozi waandamizi wenye hadhi yake ni kama mtu aliyeshushwa toka peponi.
Hakuna mtu wa kada yeyote anaeza ongea swala la hongo kwa Mhe. Jaji Feleshi, kwa kipindi chote nlichofanya kazi pale Sukari sijawahi ona mfanyakazi wa kawaida akimtangulia kufika ofisini na akimuwahi kutoka ofisini, sikuelewa nia ya Mhe Rais kumtoa kwenye uDPP lakini huenda alikuwa akiandaliwa kushika nyazifa za juu katika muhimili huo muhimu ili kuusuka upya lakini kutokana na ombwe hili katika nafasi ya AG bado sijaona mtu mbadala.
Hehehe..I wish ingekuwa hivyo, hakuna mwanasheria anayejitambua hangetamani kuwa angalau robo tu ya Feleshi, kwanza ni msomi aliyebobea na pia ni mchapakazi na mtu asiyekuwa na majivuno, nayatambua haya kwa sababu nimefanya nae kazi kwa miaka zaidi ya miwili, uliza mwanasheria yeyote wa serikali atakueleza na ni jinsi gani walimwaga machozi alipoondoka.
Usiendelee kutufanya sisi hatuna kumbukumbu. Huyu jamaa si ndio alificha yale mafaili ya kesi ya wizi wa EPA na KAGODA AGRICULTURE na kujifanya eti yamepotea kwenye mazingira ya kutatanisha. Mpaka leo hajatuambia mafaili yako wapi na wale wezi walioiba zile fedha za umma wamefanywa nini. Wanaendelea kupeta mitaani na hata wengine wameiba tena kwenye ESCROW kwa sababu DPP aliwalinda kwenye suala la EPA NA KAGODA. Acha kuendelea kutufanya wajinga.Kutokana na kujiuzulu kwa aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Werema ni wazi sasa nafasi hiyo inabaki wazi.
Kwa walio wadau wa tasnia hii ya sheria nadhani wataungana nami pasina shaka lolote kuwa kutokana na nafasi hiyo kuwa nyeti kwa ustawi wa Taifa lolote lile duniani, inahitaji kushikiliwa na mtu mwenye nidhamu, weredi na mwenye uadilifu wa hali ya juu.
Kwa wasomi na wanataaluma wa sheria nchini wenye sifa hitajika ni adimu sasa kwa taifa letu hili kwa sasa, binafsi namfahamu vyema Mhe. Jaji Feleshi licha ya kufanya nae kazi kwa muda wa miaka michache lakini ni mtu ambaye ukimweka na viongozi waandamizi wenye hadhi yake ni kama mtu aliyeshushwa toka peponi.
Hakuna mtu wa kada yeyote anaeza ongea swala la hongo kwa Mhe. Jaji Feleshi, kwa kipindi chote nlichofanya kazi pale Sukari sijawahi ona mfanyakazi wa kawaida akimtangulia kufika ofisini na akimuwahi kutoka ofisini, sikuelewa nia ya Mhe Rais kumtoa kwenye uDPP lakini huenda alikuwa akiandaliwa kushika nyazifa za juu katika muhimili huo muhimu ili kuusuka upya lakini kutokana na ombwe hili katika nafasi ya AG bado sijaona mtu mbadala.
Hiyo ni perception yako kwa maslahi yako binafsi!; uzoefu wako na Feleshi sio authoritative wala recorded!! sisi wenzio tunampima Feleshi wako kutokana na rekodi yake alipokuwa DPP; wachana na mambo ya lambalamba huko sukari!
Je Feleshi wako ana ubavu wa kusimama kidete akatoa maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa katika maswala ambayo "the oligarchs na grand mafia" wa nchi hii wana maslahi??!! Feleshi anaweza kuivimbia Ikulu kwa maslahi ya Umma? Feleshi ana ujasiri wa kujiuzulu ikiwa ushauri wake utapindishwa kwa maslahi ya mafisadi!!
Akiwa DPP aliachieve nini kama sio kufanya kazi ya kuatamia mafaili ya kesi nzito nzito mpaka kupelekea kutofautiana in public na Edward Hosea wa PCCB!! hilo liko wazi hata katika threads za weakleaks! man; no research no right to speak!
Ofisi ya AG ni nzito sana na ya hatari kubwa sana kwa sababu AG strong atapata maadui wengi sana wenye nguvu za kiuchumi na kisiasa kwa maslahi binafsi; Andrea Chenge alipotamka kwamba hivi ni vijisenti tu! hakuwa na maana kwamba hizo pesa zilikuwa kidogo bali alikuwa na maana kwamba "Eti ninyi mnashangaa hii dola millioni moja wakati kuna watu wamekomba zaidi ya hizo?" (my own take); Political entrepreneurship na the new mafia haviwezi kumuacha salama Feleshi; na Feleshi wako alishathibitisha udhaifu huo akiwa DPP; hana ubavu wa kusukumana na mafisadi; akipewa na apewe; sio jukumu langu na sina uwezo wa kukataa; it will be "fait accompli"! akagange njaa yake lakini sio kwamba ni mtu anayeweza kusimamia maslahi ya taifa come rain or sun!!
Kutokana na kujiuzulu kwa aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Werema ni wazi sasa nafasi hiyo inabaki wazi.
Kwa walio wadau wa tasnia hii ya sheria nadhani wataungana nami pasina shaka lolote kuwa kutokana na nafasi hiyo kuwa nyeti kwa ustawi wa Taifa lolote lile duniani, inahitaji kushikiliwa na mtu mwenye nidhamu, weredi na mwenye uadilifu wa hali ya juu.
Kwa wasomi na wanataaluma wa sheria nchini wenye sifa hitajika ni adimu sasa kwa taifa letu hili kwa sasa, binafsi namfahamu vyema Mhe. Jaji Feleshi licha ya kufanya nae kazi kwa muda wa miaka michache lakini ni mtu ambaye ukimweka na viongozi waandamizi wenye hadhi yake ni kama mtu aliyeshushwa toka peponi.
Hakuna mtu wa kada yeyote anaeza ongea swala la hongo kwa Mhe. Jaji Feleshi, kwa kipindi chote nlichofanya kazi pale Sukari sijawahi ona mfanyakazi wa kawaida akimtangulia kufika ofisini na akimuwahi kutoka ofisini, sikuelewa nia ya Mhe Rais kumtoa kwenye uDPP lakini huenda alikuwa akiandaliwa kushika nyazifa za juu katika muhimili huo muhimu ili kuusuka upya lakini kutokana na ombwe hili katika nafasi ya AG bado sijaona mtu mbadala.
Acha upumba.vu, samahani kama nimekuwa mkali kwa hili, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, kama humfahamu mtu ni bora ukakaa kimya, nimefanya kazi na huyu jamaa na nakuhakikishia sidhani hata kama anajua radha ya pombe ikoje, jamaa ni mcha Mungu na muadilifu hasa, kama kuna mengine yaseme lakini kuhusu uadilifu Feleshi ni miungoni mwa watu wachache sana walobakia Tanzania, uliza wanasheria wa serikali watakuambia.
Ngoja nikupatie mifano kadhaa:Unadhani anafanya hivyo kwa kukurupuka tu? ni lazima uamuzi wake ubase kwenye ushahidi na pia maslahi ya umma, kama DCI kawasilisha kwa DPP ushahidi wa kumsafisha mtuhumiwa unadhani DPP atafanya nini zaidi ya kuiondoa kesi? DPP sio chombo chunguzi kumbuka.
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji mstaafu Frederick Werema ameiagiza Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), kuacha kuondoa mashitaka mahakamani bila kuwasiliana na wapelelezi, ili kuondoa vitendo vya rushwa. Alisema hayo jana mjini hapa katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa, wakati akifungua mkutano wa mawakili wa Serikali wafawidhi, wakuu wa upelelezi wa makosa ya jinai na vikosi vingine vya Polisi.
Jaji Werema alitaka uondoaji wa mashitaka mahakamani, uwekewe utaratibu wa ndani, ili wapelelezi wataarifiwe ni kwa sababu gani kesi inaondolewa kupitia tamko la DPP la kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi, kwa kuwa uamuzi kama huo unahitaji uwazi, ili kuondoa hofu ya rushwa na dharau kwa upande mwingine.
Source: HabariLeo
Kwa mm ambaye simjui vizuri nisaidie hapa;
Uadilifu wa Feleshi na kutokujua "ladha ya pombe" unajaribu kusema nn?
Uadilifu wa Feleshi na ucha Mungu unajaribu kusema nn?
Waiting............
Ngoja nikupatie mifano kadhaa:
- Kesi ya Ugaidi ya Lwakatare mwaka 2013: Hapa DPP alitumia Nolle prosequi kuifuta kesi yao na baadaye kuwafungulia watuhumiwa kesi ile ile.
- Rufaa dhidi ya kesi ya Prof. Costa Mahalu: Baada ya mahakama kumwachia huru Prof. Mahalu, DPP alikata rufaa, lakini cha kushangaza, baada ya Rais kumteua Prof. Mahalu kuwa Mjumbe wa Baraza la Kutunga Katiba (CA), DPP aliifuta rufaa hiyo kwa Nolle prosequi.
- Kesi kadhaa za Madawa ya Kulevya pia zilifutwa na DPP katika mazingira tata.
Mambo haya Mwanasheria Mkuu wa Serikali alikwisha kuyaona na kutoa onyo:

Tunkamanini, here goes a whim!!!!