Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

Kuna msemo una kufa ila kufa kishujaa, thanks mwenyekiti wangu mh Mbowe umeitendea haki YAKO nafsi yako ,tz , na Dunia KWa ujumla, na Mungu anasema twende tu, usiogope asema bwana
 
Kiko wapi sasa
 
Kuna Jaji mmoja alishakiri kabisa na kusema "Jamani hizi kesi za kisiasa hizi na mimi nina watoto wadogo".

Tufika muda tuwaonee huruma hawa jamaa baadhi yao wanafanya kazi wa mashikinizo makubwa mno toka Serikali, ukifanya tofauti na wanavyotaka wao - Je mhimili wa mahakama unaweza kukupatia personal security ?
 
Jaji anajua sana kwa nini amejitoa ,ila wewe tu genge lako ndo hamjaelewa
 

Ila mkuu kipo mnachoweza kukataa kweli?

Nay wa Mitego naona aliwatendea haki sana.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Unapokuwa na akili za namna hii ni kama upo kwenye kilevi fulani, hakuna jambo lolote nje ya kilevi chako linaloweza kubadili akili yako ione tofauti na unavyoona wewe ukiwa kwenye kilevi hicho.

Tatizo lako ni kwamba unataka wengine wote nao waonekane kuwa walevi kama ulivyo wewe!
 
Ww ni mpumbavu jaji anakiri hati ya mashtaka in shida kwa upeo wake pengine anaweza kujitoa kukwepa aibu anawezaje kung'ang'ania kesi ambayo kabaini ina makosa ktk ufunguaji wake?
 
Kuficha ujinga ni hekima!
 

Kuanzia hapa, hii ndiyo sababu kuu ya Jaji Luvanda kuamua kukaa pembeni baada ya kuamliwa kufanya hivyo. Hili kosa sijui kwa nini alilifanya?
 
Kengeza la gaidi DJ haliwezi kumtisha jaji mpaka akubali kujitoa, gaidi ajiandae kula mvua za kutosha!. 🀣
Keshajitoa, ili na wewe usionekane makengeza yako ya akili, futa πŸ–•comenti yako hapo!
 
πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€‘πŸ‘Š
 
Tukisema katiba mpya ccm wabeza, ila iwe wazi ,nchi ipo gizani ,ukiona mtumiwa anakataa jaji ambae kwa mjibu wa taratibu mtu muhim jiulize Mara mbili ,thanks my chair man
 
Makamanda tusilie bali tusonge mbele kwani mda si mwingi Mungu anaenda kutufurahisha tena πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Wew ni mjinga usio jielewa. Ushahidi gani unao taka zaidi ya huu jaji kakubali hati ya mashitaka ni batili halafu anakataa kufuta kesi? Upo ushahidi wa aaina nyingi wew Kibwetele kama hujui. Huu alio toa Mbowe ni ushahidi wa kimazi gira na unaweza kumtia MTU hatiani.

Mabishano ya Mawakili yalikuwa
kujua je Hati ya Mashitaka ni batili au sio batili? Mawakili wa utete walileta ushahidi kuonesha hati ni batili na wale wa serikari walileta vielelezo kuonesha hati hiyo ni halali. Baada ya kupitia hoja za pande zote mbli, Jaji kakubaliana na hoja za mawakili wa Mbowe kuwa hati ni batili hivyo kilicho kuwa kinafuata ni yeye kuifuta kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…