Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

Shida ya kuingiza siasa kwenye mambo ya msingi
 
Pole sana Mh Mbowe..

Ni vyema Mh Mbowe na team yake pamoja CDM ili suala mpambane zaidi kisheria kuliko kuleta siasa... tukijikita kwenye siasa tunaweza kusahau masuala muhimu ya kisheria na mwisho ukawa mbaya halafu bado tukaendeleza harakati za kisiasa za Free Mbowe....

Siasa ina mambo mengi, unaweza kuwekewa mtego na wewe ukajaa huku maadui zako wakiwa na malengo ya baadaye kukumaliza kwa wewe kuingia kwenye target yao bila kijua...mfano unaweza kuchokozwa baada ya watu kujua unahasira na wewe kupitia hasira zako ukaua kifupi utakuwa na kesi ya kuua...TUWE MAKINI....
 
Kesi iendelee. Mawakili wa mbowe wanasumbua mahakama ili kupiga hela ya wafadhili kwamba wanamtetea mteja wao kibaraka wa wazungu.
 
Good. Inawezekana ameona kesi itamchafua ndiyo maana akaanza kutupa mapingamizi ili akataliwe.
 
Tuhuma alizo zitoa Mbowe dhidi ya Jaji Luvanda sio tu zinamchafua yeye bali zinawachafua Majaji wote na Muhimili wa Mahakama.
Hivyo Mbowe na Mawikili wake walipaswa wathibitishe tuhuma hizo nzito.
kabla ya Jaji kujitoa.
vinginevyo Muhimili wa Mahakama utaendelea kuchezewa sana na Mawakili wa Mbowe.
 
Aibu kubwa sn kwa mahakama
 
Vipi tena, Jaji kakubali upuuzi wa Mbowe na mawakili wake.

Stay tuned mkuu.
 
Naona aibu kuwa Raia wa Nchi moja na wewe!
 
Hakuna kitakachobadilika hapo, ni wale wale tu
 
Taarifa zote za Jaji Luvanda tunazo , amekanyaga pabaya sana
Hii tisha toto makamanda wanakamatwa nyie makuruti itabidi mfanye kweli ijulikane sasa hesabu ya 1+1=1 ithibitike hesabu ya muungano,inabidi mjipange kwa vitendo .

Tuseme maakama polisi wote ni wasaidizi wa CCM kuifanya iwe na kiburi na yeyote kwenye upinzani akitiwa mkononi na mambo yasioeleweka eleweka sababu ni maelezo kutoka juu kwa maana kutoka CCM, sasa makamanda kwa nini na nyinyi hamumsaki yule aliesema na kuwajibu kuwa ni au amepata maelezo kutoka juu ili awafanyie ukamataji,alimuradi awadhalilishe,msakeni kama ndezi na kumlia timing hata kama itachukua miezi,siku mnamtia mkononi ni lazima atasema ni nani huyo kutoka juu anaetoa maelezo yasio katika usawa na wao kuyatekeleza bila ya kufuata utaratibu na sheria za nchi,aseme yaani mnambana makorodani mpaka aite mammaaa. Ndio CCM inapotaka watu wafike huko kiyemeni yemeni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…