Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Huyo ni zaidi ya Mahela mzee, Mwamba akimuona huyo mahakamani atazimia maana Bavicha walimsagia sana kunguni huyo jamaa aondolewe kwenye nafasi yakeAnaonekana ni design ya Mahela....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni zaidi ya Mahela mzee, Mwamba akimuona huyo mahakamani atazimia maana Bavicha walimsagia sana kunguni huyo jamaa aondolewe kwenye nafasi yakeAnaonekana ni design ya Mahela....!!
Ameshajitoa sasa huyo Jaji. Je Una lingine??Awasilishe mahakamani kama anao ushahidi juu ya hayo anayo mtuhumu nayo, sio kumchafua Jiji bila ushahidi.
Kama hakuna ushahidi Jaji aendelee.
Kibatala anazidi kumchimbia shimo bila yeye kujielewa maskini Mbowe!!!
Hoja ya kitoto kweli hiyo eti unamkataa Jaji?!! Tena unatoa tuhuma za kizushi na majungu ya kumchafua Jaji?
Halafu hao mawakili wanamfundisha ujinga kama huo!!
Kaharishie LumumbaMbowe sasa maji ya shingo. Ndio keshatumbukia hivyo.
Hakuna cha kuaharisha wala nini. Hilo ligaidi lenu sasa limebaki kutapatapa tu.Kaharishie Lumumba
Unaweza kuwa huna kengeza ukawa huna akiri!!!Kengeza la gaidi DJ haliwezi kumtisha jaji mpaka akubali kujitoa, gaidi ajiandae kula mvua za kutosha!. [emoji1787]
Kimsingi sheria haizuii hati ya mashitaka kufanyiwa marekebisho muda wowote ule wakati kesi ikiendelea, lkn pia Jaji hazuiwi kutoa maelekezo ya kufanya marekebisho kama alivyo fanya Jaji Luvanda, ameona kasoro na amewaelekeza upande wa Jamuhuri wazirebishe ili tu haki iweze kutendeka.Chief ! Jaji anaiomba jamhuri ibadilishe hati ya mashitaka ?
Nyie ndio mlimfuga Gaidi Hamza mpaka kaua Police wetu.Hakuna cha kuaharisha wala nini. Hilo ligaidi lenu sasa limebaki kutapatapa tu.
Kukosewa jina hakukutoi kwenye shitka!!...Hati ya makosa imekosewa, judge kakubali!!..waachie huru!!!.. serikali ikarekebishe Hati wakamatwe tena..Jina la Sabaya lilivyokosewa kwenye hati yake ya mashtaka kesi ilifutwa, acheni kulia lia ovyo.
Kuna makosa mengine kesi inatakiwa ifutwe kama hapo makosa yaliyofunguliwa hayafai kesi kuendelea hio ya sabaya ni jina tu kwaio sio issue...Mbona hata ya Sabaya ilikosewa hadi jina ila mashtaka hayakufuatwa? Acheni kulia lia na kutafuta mbeleko, kesi itaendelea na kama Mbowe alifanya ujinga wowote atafungwa vizuri tu.
Wacha upuuzi, sifa moja kuu ya judge yeyote hapa duniani lazima awe impartial, hatakiwi kupendelea upande wowote, huyo Luvanda kama refarii kujigeuza kocha wa timu nyingine ili iweze kushinda mchezo wake ni wizi kwa taaluma ya sheria.Kimsingi sheria haizuii hati ya mashitaka kufanyiwa marekebisho muda wowote ule wakati kesi ikiendelea, lkn pia Jaji hazuiwi kutoa maelekezo ya kufanya marekebisho kama alivyo fanya Jaji Luvanda, ameona kasoro na amewaelekeza upande wa Jamuhuri wazirebishe ili tu haki iweze kutendeka.
hakuna kosa lolote la kisheria hapo.
Jaji ametumia busara ameona ni bora aelekeze marekebisho yafanyike kuliko kuliondoa shitaka.
Hata kama angeliondoa shitaka dhidi ya Mbowe bado Mbowe asingekuwa huru lazima angeendelea kubaki kizuizini wakati Jamuhuri ikifanyia marekebisho hati ya mashitaka, hivyo alicho kifanya Jaji ni kutumia busara tu maana hakuna ambacho kingebadilika.
kasoro zilizopo ktk hati ya mashitaki hazipelekei kesi kufutwa, ktk sheria kuna tofauti kati ya "kufutwa" na "kuondolewa"
kuondoa shitaka hakumalizi kesi, kesi bado ipo kwa kuwa Jamuhuri bado inania ya kumshitaki mbowe.
tulieni acheni papara tuone utamu wa sheria.
Hizi takataka mnaziokota jalala gani?Uamuzi wa Jaji kujiondoa kwenye Kesi ya Mbowe ni uamuzi wa Busara kubwa na ni strengths nzuri japo laymen wanafikiria ni weakness.
Kazi kubwa ya Jaji ni kutoa HAKI- To admnister Justice, pale ambapo mteja anaona kuwepo kwa any miscarriage of Justice either because of delay or technicalities, anao uhuru na uwezo wa kuomba kubadilishiwa Jaji/mwamuzi. Hata katika uwanda wa Mpira wa Miguu/football, kuna wakati Timu moja inaweza kuomba kubadilishwa kwa mwamuzi bila kuathiri mchezo, sio busara kusubiria mchezo halafu uje useme kuwa tulijua huyo refa sio mzuri/hana weledi au ni mwonevu.
Kitendo cha Jaji kujiondoa kunatuma ujumbe mkubwa hadi Nje ya Nchi kuwa Mahakama za Tanzania zipo Uhuru na sio rahisi kuziingilia na pale ambapo mteja anaona/anahisi hatendewi haki, anaweza kumkataa jaji na bado akapata HAKI yake.
ISSUE ambayo inatrend ni ile offer ya Mahakama kuwapatia upande wa Jamhuri kitu ambacho haikukiomba-to amend/recorrect/reconstruct the charge sheet' Republic hakiomba kitu kama hiki kabisa, kwa hiyo wamepewa zawadi ambayo pengine hawakustahili kuwa nayo.....kuna msemo wa Kisheria unaosema kuwa "Mahakama sio mama yako, akupatie kila unachohitaji pale unapolia" The court is not your motherwho grants things you have never asked for".
Kwa maana hiyo hili tu ndilo jambo ambalo kwa mtizamo wa wananchi kuwa mahakama imetoa kitu ambacho sio ombi la Jamhuri, kwa sababu Jamhuri iliamini kuwa charge sheet yao inajitosheleza kumbe ina matobotobo......kisheria charge sheet ndio inayomwezesha mtuhumiwa kuweza kujitetea......sasa kama kuna fabricated offenses (if any) inakuwa ngumu kwa accussed kujitetea; ndio maana Mawakili wa utetezi wameweka nguvu nyingi kwenye PO =Preliminary Objections.
jopo la Majaji 3 wa Mahakama ya Rufani mwaka 2020 Kwenye Kesi ya Ezekile Kwihuja vs Republic (2020) unreported, iliamuru washitakiwa watolewe magereza haraka iwezekanavyo baada ya kuonekana makosa ya hati ya mashitaka kwenye Kesi ya Mahakama Kuu chini ya Jaji Ruhangisa. Utamu na ubora wa sheria ni ule mwendelezo wa Rufaa kutoka mahakama moja kwenda nyingine; hata uamuzi huu wa leo ungeweza kukatiwa Rufaa hata kama Jaji angegoma kujitoa;
Itoshe kusema kuwa sheria ni uwanja wa kujifunza kila siku na ndio sababu mojawapo ya kusema Mawakili Wasomi
Pole Mkuu, kuna muda ambapo kweli unakuta wakili hajaweza kuziona hizo loopholes zote kwa wakati mmoja au nyingine zimezaliwa wakati kesi ikiendelea. Ila yote kwa yote ni katika kutafuta ushindi Mkuu.Kuna wakili alinisumbua kesi yangu. Hsoni aibu leo anadai hiki, tukienda appeal anadai kitu tofauti ili mradi anaona ni loophole ya kushinda kesi.
unadhani kwanini Luvanda kakimbia bila kuuliza haya maswali yako ya kipuuzi ?Tuhuma alizozitoa Mbowe dhidi ya Jaji Luvanda sio tu zinamchafua yeye bali zinawachafua Majaji wote na Muhimili wa Mahakama.
Hivyo Mbowe na Mawikili wake walipaswa wathibitishe tuhuma hizo nzito.
Sheria hiyo umeisoma kupitia chuo gani?Kimsingi sheria haizuii hati ya mashitaka kufanyiwa marekebisho muda wowote ule wakati kesi ikiendelea, lkn pia Jaji hazuiwi kutoa maelekezo ya kufanya marekebisho kama alivyo fanya Jaji Luvanda, ameona kasoro na amewaelekeza upande wa Jamuhuri wazirebishe ili tu haki iweze kutendeka.
hakuna kosa lolote la kisheria hapo.
Jaji ametumia busara ameona ni bora aelekeze marekebisho yafanyike kuliko kuliondoa shitaka.
Hata kama angeliondoa shitaka dhidi ya Mbowe bado Mbowe asingekuwa huru lazima angeendelea kubaki kizuizini wakati Jamuhuri ikifanyia marekebisho hati ya mashitaka, hivyo alicho kifanya Jaji ni kutumia busara tu maana hakuna ambacho kingebadilika.
kasoro zilizopo ktk hati ya mashitaki hazipelekei kesi kufutwa, ktk sheria kuna tofauti kati ya "kufutwa" na "kuondolewa"
kuondoa shitaka hakumalizi kesi, kesi bado ipo kwa kuwa Jamuhuri bado inania ya kumshitaki mbowe.
tulieni acheni papara tuone utamu wa sheria.
Achana na hiyo ng'ombe itakuchosha bure tu mkuuHii haimanishi judge anaingilia mwenendo wa kesi..na anatoa maelekezo nini cha kufanya..ili iweje..hiyo ni kazi ya judge??kwakuwaambia wakairekebishe inamaana anakubali imekosewa..and what does the law say hati inapokosewa..na ombi la kina kibatala lilikuwa ni nini kuhusiana na hati??
Hakuna mwanaccm mwenye aibuAibu kubwa kwa Jaji Luvanda na Mahakama..
Maana anasema hati ya mashtaka ni batili..Lakini anawaambia mawakili wa serikali wakaibadilishe..akina Kibatala wamegoma wamemwambia kama hati ya mashtaka ni batili futa kesi..hataki..
Jaji amekubali kujiondoa kuendesha kesi.