Jaji Francis Mutungi atangaza kuzuia Mikutano na Makongamano ya Vyama vya Siasa kwa muda kutafuta suluhu

Mungu mwenyewe anaupinzani, kazuia uzinzi lkn wapi kina Mtungi ndio wamepamba moto, kazuia uuaji lkn wapi wamemuua kwa sumu kipenzi cha wanyonge Tanzania

Sasa iweje serikali ya mama Tozo izuie upinzani? Haiwezi wallah wajifunze tu jinsi Mungu mwenyewe anavyopingwa enzi na enzi na amemwacha tu mpinzani wake aendelee kula bata
 
Nilidhani utashukuru kwamba mutungi is seeking for alignment and understanding

lakini kumbe wwwe unataka mikutano tu endlessly na bila tija

anyways - all the best
Acha ujinga! Kwani siasa ina ukomo?
 
Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania , Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na ccm baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa wasubiri kwanza kikao na IGP katika tarehe isiyojulikana .

Kwa wasiojua katiba ya nchi , Francis Mutungi kama mtu binafsi au kama Msajili wa vyama vya siasa HANA , HAJAWAHI KUWA NA HATOKUJA KUWA NA MAMLAKA YA KUZUIA MIKUTANO YA KISIASA WALA MAKONGAMANO , hili si jukumu lake

----
View attachment 1926218
PICHA: Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi, amevitaka vyama vya siasa nchini kusimamisha makongamano na mikutano ya kisiasa kwa muda ili kupisha mazungumzo baina ya vyama vya Siasa, Polisi na Ofisi ya Msajili ili kutafuta suluhu ya mikutano na makongamano.

Jaji Mutungi ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam na kwamba katika kipindi hiki cha kuelekea mazungumzo hayo ni vyema vyama vikasitisha makongamano na mikutano ya kisiasa mpaka hapo mazungumzo yatakapo fanyika ili kuondoa sintofahamu iliyoibuka baada ya polisi kudaiwa kuingilia mikutano ya kisiasa.

Hatua hiyo imekuja baada ya siku za hivi karibuni Chama cha NCCR- Mageuzi kilinukuliwa kikilalamikia kuzuiwa na Jeshi la Polisi kufanya mkutano wa Kamati Kuu katika eneo la Msimbazi baada ya Polisi hao kuvamia mkutano huo.

PIA SOMA
1. Polisi wasambaratisha kikao cha Kamati Kuu ya NCCR-Mageuzi
2. ACT Wazalendo: Tunalaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kuvamia na kuzuia Kikao cha Kamati Kuu ya NCCR Mageuzi
3. Kyela: Polisi wazuia kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa Chadema
4. Musoma: Polisi Wazingira ofisi ya CHADEMA kulikopangwa kufanyika kongamano la Katiba Mpya
Kwani si ilisimamishwa tangu mwanzoni mwa awamu ya 5, na hivi karibuni Rais Samia Suluhu alipoulizwa juu ya kuruhusu mikutano ya siasa ya hadhara, naye alisema mikutano na makongamano hapana ajenge uchumi kwanza!? Huyu anasimamisha nini tena?
 
Kudai katiba mpya kuna zuia vp maendeleo Mwrhu wewe? Kila mtu anajua jukumu lake. Mkulima anaendelea na kulima. Mfanya biashara anaendelea na biashara zake, hali kadhali mfanyakazi.
Waachwe wanasiasa nao wafanye majukumu yao.
Kipaumbele cha dunia nzima sasa hivi ni kuangalia jinsi gani tunavuka kwenye mkwamo wa kiuchumi uliojitokeza, mambo hayaendi! Wewe kwa sababu upo huko Litapwasi unakula mihogo usidhani wote wanaishi kama wewe!! Nenda nchi yeyote saa hii duniani uwaambie mimi kipaumbele changu katiba mpya, utaonekana ni kichaa na jinga! Watu wamefunga makampuni, kuna nchi zimesitisha hadi uchaguzi mkuu, Corona imeondoa watu madarakani, millions of money zimepotea kwenye kada mbalimbali zimepotea na zinaendelea kupotea sababu ya Corona, hapa kwetu tumepoteza billions kupitia utalii na mambo mengine na bado tunaendelea kupoteza, watu wametengana na familia zao unaenda mwaka wa pili huu, watu wamepoteza kazi!! Halafu wewe na ujuha wako ulete story za katiba mpya......!! Lazima uvunjwe kiuno
 
Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania , Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na ccm baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa wasubiri kwanza kikao na IGP katika tarehe isiyojulikana .

Kwa wasiojua katiba ya nchi , Francis Mutungi kama mtu binafsi au kama Msajili wa vyama vya siasa HANA , HAJAWAHI KUWA NA HATOKUJA KUWA NA MAMLAKA YA KUZUIA MIKUTANO YA KISIASA WALA MAKONGAMANO , hili si jukumu lake

----
View attachment 1926218
PICHA: Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi, amevitaka vyama vya siasa nchini kusimamisha makongamano na mikutano ya kisiasa kwa muda ili kupisha mazungumzo baina ya vyama vya Siasa, Polisi na Ofisi ya Msajili ili kutafuta suluhu ya mikutano na makongamano.

Jaji Mutungi ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam na kwamba katika kipindi hiki cha kuelekea mazungumzo hayo ni vyema vyama vikasitisha makongamano na mikutano ya kisiasa mpaka hapo mazungumzo yatakapo fanyika ili kuondoa sintofahamu iliyoibuka baada ya polisi kudaiwa kuingilia mikutano ya kisiasa.

Hatua hiyo imekuja baada ya siku za hivi karibuni Chama cha NCCR- Mageuzi kilinukuliwa kikilalamikia kuzuiwa na Jeshi la Polisi kufanya mkutano wa Kamati Kuu katika eneo la Msimbazi baada ya Polisi hao kuvamia mkutano huo.

PIA SOMA
1. Polisi wasambaratisha kikao cha Kamati Kuu ya NCCR-Mageuzi
2. ACT Wazalendo: Tunalaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kuvamia na kuzuia Kikao cha Kamati Kuu ya NCCR Mageuzi
3. Kyela: Polisi wazuia kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa Chadema
4. Musoma: Polisi Wazingira ofisi ya CHADEMA kulikopangwa kufanyika kongamano la Katiba Mpya
Why? nafikili Hili Jambo ,lingeweza wajenga ccm Kama kweli wangeangalia mbali, lingesadia kuibua vijana machachari ndani ya chama chao katika upande wa kujenga hoja,

Sasa hii sijui ni KWa mjibu wa katiba , taasisi zinazoongozwa na watanzania wenzetu, ila twende tu
 
Nilidhani utashukuru kwamba mutungi is seeking for alignment and understanding

lakini kumbe wwwe unataka mikutano tu endlessly na bila tija

anyways - all the best
IGP anaitisha kikao kama nani ? huyu Sirro aliyebambika kesi wanasiasa na kuwatukana kila siku nani atamsikiliza , huyu IGP hawezi kuwa mwongoza kikao kwa vile ni mwanaccm na wala hana mamlaka hayo , Tunataka wakutane viongozi wa vyama vya siasa akiwemo mwenyekiti wa ccm , huyu Sirro kibaraka wa kutupwa wa ccm hatumtaki
 
Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania , Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na ccm baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa wasubiri kwanza kikao na IGP katika tarehe isiyojulikana .

Kwa wasiojua katiba ya nchi , Francis Mutungi kama mtu binafsi au kama Msajili wa vyama vya siasa HANA , HAJAWAHI KUWA NA HATOKUJA KUWA NA MAMLAKA YA KUZUIA MIKUTANO YA KISIASA WALA MAKONGAMANO , hili si jukumu lake

----
View attachment 1926218
PICHA: Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi, amevitaka vyama vya siasa nchini kusimamisha makongamano na mikutano ya kisiasa kwa muda ili kupisha mazungumzo baina ya vyama vya Siasa, Polisi na Ofisi ya Msajili ili kutafuta suluhu ya mikutano na makongamano.

Jaji Mutungi ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam na kwamba katika kipindi hiki cha kuelekea mazungumzo hayo ni vyema vyama vikasitisha makongamano na mikutano ya kisiasa mpaka hapo mazungumzo yatakapo fanyika ili kuondoa sintofahamu iliyoibuka baada ya polisi kudaiwa kuingilia mikutano ya kisiasa.

Hatua hiyo imekuja baada ya siku za hivi karibuni Chama cha NCCR- Mageuzi kilinukuliwa kikilalamikia kuzuiwa na Jeshi la Polisi kufanya mkutano wa Kamati Kuu katika eneo la Msimbazi baada ya Polisi hao kuvamia mkutano huo.

PIA SOMA
1. Polisi wasambaratisha kikao cha Kamati Kuu ya NCCR-Mageuzi
2. ACT Wazalendo: Tunalaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kuvamia na kuzuia Kikao cha Kamati Kuu ya NCCR Mageuzi
3. Kyela: Polisi wazuia kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa Chadema
4. Musoma: Polisi Wazingira ofisi ya CHADEMA kulikopangwa kufanyika kongamano la Katiba Mpya
Mimi kwa hili nitamuunga mkono kama kweli atalitafutia muafaka, lakini kama atakaa kimya basi nitafahamu kwamba anatumika.
Ebu tumpe muda kidogo ili tujue kama kweli atalitafutia muafaka.
 
CCM wanatumia taasisi za umma kukandamiza mawazo mbadala - hii ofisini ni kati ya ofisi zisizofuata maadili ya uongozi.

Katiba wataitoa tu watake wasitake.
 
Katangaza kwa kutumia sheria ipi ama kifungu kipi cha Katiba imemruhusu haya ?
 
Alitakiwa kutuambia tu kama mikutano ya vyama vya kisiasa inaruhusiwa kisheria au hairuhusiwi. Kama inawaruhusu basi anatakiwa kutoa tamko kuwa polisi hawana haki ya kuwazuia. Kama hairuhusiwi basi aseme tu kuwa ni wajibu wa polisi kuhakikisha haifanyiki. IGP anatakiwa kutekeleza sheria iliyopo na sio kukaa na vyama vya siasa kuizungumzia.

Amandla...
 
Back
Top Bottom