IHaina rufaa
Mwamba ameingiaje hapa?Mwamba anauwa Chadema yake na kuimarisha Chaumma ya Waha πβοΈ
Wapare wabishi sana kwenye kesi πJaji wa mama ana jambo lake
Umesahau Prof Lipumba alivyotengua kujiuzulu kwake πβοΈMwamba ameingiaje hapa?
Amandla...
Colabo ya Mama na Mwamba.Jaji wa mama
Only if cdm is will to risk it, street justice is the only thing leftWhat next, and this is not appealable!
Mwamba ame/atatengua nini? Ninachojua ni kuwa alishindwa kihalali na hana uwezo wa kutengua matokeo ya ule uchaguzi.Umesahau Prof Lipumba alivyotengua kujiuzulu kwake πβοΈ
Soon Chaumma ndio itakuwa ChademaMwamba ame/atatengua ninj? Ninachojua ni kuwa alishindwa kihalali na hana uwezo wa kutengua matokeo ya ule uchaguzi.
Amandla...
Ndio nashangaa nilidhani ilitakiwa jaji mwingine ndio aitolee ruling kumbe huyo huyo ndio anajiamulia? Hii nchi ndio maana tunaangushwa sana kesi za kimataifa maana tumezoea janja janja tu no professionalism.Yaani haaminiki ila yeye ndio anaamua ajitoe ama la?
Chaumma haiwezi kuwa Chadema. Ila inawezekana kuwa kuna wanachama wa Chadema wanaweza kutimkia Chaumma ili wapate nafasi ya kugombea.Soon Chaumma ndio itakuwa Chadema
Huu mchezo aliucheza Lyatonga Mrema baada ya kushindwa kuelewana na Marando pale Nccr ndio akainunua TLP
Siasa ni sayansi π