GE2025 Jaji Hamidu Mwanga akataa kujitoa kwenye kesi ya CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani kukaa pembeni shilingi ngapi?...
Huyu jamaa vipi?....kwani judge yupo peke yake?...
Anakomaa kwa manufaa ya nani?...
 
ni kukata rufaa..............................INGAWA HII NI INTERLOCUTORY MATTER THAT DOES NOT DETERMINE THE FINALITY OF THE CASE
How does it not determine the final ruling? Clash of interests ni serious matter kwa nature ya kesi. Pia inakuaje maombi ya jaji kuondolewa kwenye kesi apelekewe jaji mwenyewe? Kwani hakuna tume ya majaji au whatever ili maombi yapelekwe huko?

Au justice system is a scam
 
Mkuu, ukiona hivyo ujue kuna masilahi binafsi anatetea si bure
 
Mimi kama muislam zamani nishajitoa, maana ninapoenda baada ya kufa ni pagumu zaidi kuliko kitu chochote hapa duniani
 
Mkuu, ukiona hivyo ujue kuna masilahi binafsi anatetea si bure
Ni sawa, lakini hayo maslahi kweli yanapita hadhi ya mtu kufikia level ya ujaji!?
Ni heshima kubwa sana kimaadili kuwa judge, let us hope kwamba maslahi hayo ni ya kimaadili na si vyeo, nyumba, gari, mashamba, wanawake nk ambavyo hata ukiiweka kwenye malengo mwisho wake they all perish.
Angallia watu waliokuwa na nyumba Upanga, Ada Estate au Kapripoint miaka ya 80s, leo hii si wanaona 'wajanja' wanaamia Mbweni na kwingineko!? Je, kama ulinyang'anya haki ya mtu wakati huo na umejaaliwa kuishi hadi leo ukiiona jamii ya mtu huyo uliyempoteza unajisikiaje!?
 
Hii habari imenikumbsha mbali sana.
back then.. ndiyo nimeanza maisha ya ghetto,Kuna demu(mtu wa singida) mmoja kitaa nikawa ninafinya kishikaji.
one day nikamfuma eneo la hatari na mshikaji,akaniona nikamuona...nikaziua as if hakuna mbaya..mida flan narudi ghetto yule Malaya huyu hapa.. akaingia moja kwa moja Ngwea.
nikamwambia ajichenge..yule Malaya akasema"huwezi nifukuza hapa kwa kosa dogo kama ili".
zilipita sekunde kadhaa singer chochote baada ya jibu lile.
 
Hashim ameshasema Mbowe atakaporipoti tu Chaumma anamwachia Uenyekiti ๐Ÿ˜€
 
Mwaka 0001 AC na 2025 AC ndio ipi hiyo? Au ni kwenye dunia nyingine bwana Mbatizaji?
Kuijua 0001 ni lazima kwanza ujue unabii wa kuzaliwa Masihi wa Mungu wa mbinguni uliotolewa miaka 400 kabla ๐Ÿ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ