Jaji Imani Aboud Achaguliwa Kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Jaji Imani D. Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aligombea nafasi ya kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

Katia Mkutano wa 38 wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje ya Umoja wa Afrika, Jaji Imani amechaguliwa kuwa jaji kwa muhula wa pili wa miaka 6, ambapo alipata kura 51 kati ya 52

Jaji Imani ataiwakilisha Afrika Mashariki. Aidha Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Emmanuel Buholela ameutaja ushindi wa Jaji Imani kama kielelezo cha uwezo walionao watanzania
 
Hongera sana Jaji Aboud tunakutakia kila la kheri kwenye kazi yako.
Hiyo kura moja uliyokosa lazima itakuwa ni ya Kenya tu.
 
Miaka ijayo hakuna atakaye chaguliwa aktika international level maana sifa yao imekufa kwa judiciary kuwa compromised na jiwe
Sawa mtabili Tambitambi vip unaweza kutabili ubingwawa ligi kuu ya uingereza msimu huu atachukua nan ?
 
Unafiki huu mpaka lini? Mahakama yenyewe mnapanga kujitoa
 
Maisha maisha

Kutoka mtangazaji wa kampeni ITV mpaka Mkurugenzi

Hongera Emmanuel

Yule reporter wa Lowasa namuona TBC alikosea kucheza karata vizuri wakati wa kampeni mwaka 2015
 
Hongera sana Jaji Aboud tunakutakia kila la kheri kwenye kazi yako.
Hiyo kura moja uliyokosa lazima itakuwa ni ya Kenya tu.
Hata wakichaguliwa hawanaga michango kwa wananchi,mfano
R.Migilo, A.Tibaijuka ,wanakuwa Kama picha tu.
 
Hongera zake!
 

Hivi Tanzania si ilisha jitoa/tangaza nia ya kujitoa kwenye Mahakama hii?
 
Nchi yetu imekuwa ya kisengerema sana, juzi hapa tumewazibia wasomi wetu wawili kwenye mabaraza ya AU! Sijui kwa nini tuna roho mbaya hivyo!!
 
Tumfahamu huyu mama kutoka Tanzania na wasifu wake ktk sheria na taasisi ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (The African Court on Human and Peoples' Right) yenye makao yake makuu Arusha, Tanzania :


April 7, 2020
Justice Imani Aboud Appointed to African Court on Human and Peoples’ Rights

Lady Justice Imani Daud Aboud- Tanzania. Photo Courtesy of Lady Justice Imani Daud Aboud- Tanzania

Lady Justice Imani Daud Aboud is a national of Tanzania. She was elected as Judge of the African Court on Human and Peoples’ Rights in July 2018.She holds Master of Laws (Malta) and Bachelor of Laws (University of Dar es Salaam).Justice Aboud is Judge of the High Court of Tanzania in Dar es Salaam.

She has held several key positions, including the post of the Assistant Director in the President’s Office (Public Service Management) and the State Attorney. She has represented the Government in various international human rights conferences, seminars and workshops. She was also involved in making periodic reports on Human Rights to UN and other monitoring bodies such as the African Commission on Human and Peoples’ Rights.

She is a Member of important regional bodies such as the Board of Directors of the International Association of Women Judges (IAWJ), representing African Region;

Advisory Board of Southern African Development Community (SADC) Citizen for Justice (CFJ) based in Malawi; and Member of the Monitoring Team assigned by the United Nations Mechanism for the International Criminal Tribunal (MICT), Arusha, Tanzania, on 1994 Rwandan genocide cases.

Justice Aboud has also served as a Vice Chairperson in the Independent Review Electoral Commission (IREC or Krigler Commission) in Kenya. The Commission was formed to facilitate the work of the Panel of Eminent Personalities under the leadership of the late Kofi Annan, former UN Secretary General. The Commission’s responsibility was to review the 2007 election process in Kenya.

Justice Aboud has extensively participated as an expert in various local judicial and human rights committees and institutions.
Source : Current Judges

More info from 2018 :
IAWJ congratulates IAWJ leader, Justice Imani Aboud of Tanzania, for her recent election to the African Court on Human and Peoples’ Rights. She will be sworn in on August 27th at the commencement of the 50th Ordinary Session in Arusha, Tanzania, the seat of the court. Justice Aboud replaces another IAWJ member on the court, Justice Solomy Bossa, who has joined the International Criminal Court.

Justice Aboud has been a dedicated leader and active member of the IAWJ and the Tanzanian Women Judges Association. She recently served as a member of the IAWJ Board of Directors from 2016-2018 representing the African region, and as President of the Tanzania Women Judges Association from 2015-2017. Justice Aboud shares her knowledge and leadership with fellow IAWJ members at IAWJ Biennial Conferences, global judicial forums such as a Summit on Human Trafficking at the Vatican, and IAWJ programs, including as a judicial trainer in IAWJ’s global Sextortion program, funded by the Government of the Netherlands.

Justice Aboud has a rich career in the legal and judicial field in Tanzania and in the region. Appointed as a judge in 2006, she currently sits on the High Court of Tanzania. Alongside her judicial work, she served as a Monitor to two court proceedings involving the Jean Ukwinkindi case in Rwanda in April 2015, reporting to the UN International Criminal mechanisms.

Justice Aboud’s career has had a long dedication to human rights and governance. In 2000, she was a founding member of the Commission for Human Rights and Good Governance in Tanzania and was a key player in laying the foundation for the establishment of the commission. Prior to becoming a judge, she was Assistant Director of the President’s Office, Public Service Management and worked as a State Attorney at the Attorney General’s Chambers.

The IAWJ is honored to have Justice Aboud as a member and deeply appreciates her leadership nationally, regionally, and internationally. We would like to congratulate her on this recent, remarkable achievement.
Source : Justice Imani Aboud Appointed to African Court on Human and Peoples’ Rights - International Association of Women Judges
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…