Jaji Joachim Tiganga ameikosesha Mahakama point tatu muhimu dhidi ya Serikali

Sidhani kama kuna alichoandika zaidi ya kutoa amri!
 
1.kwanini msamaha haukutolewa baada ya ombi la askofu shoo?
2.kwanini msamaha haukutolewa baada ya kauli ya Zito?
Ndiyo maana watu wanaongea mengi kwamba kuna presha maalumu iliyopelekea DPP kutoendelea na kesi.Na kwamba siyo kauli sijui ya viongozi wa Dini.Wenyewe wanajua kilichopelekea Mbowe kuachiwa.
 
Huyo Jaji Tinganga alipewa maagizo, siyo Jaji huyo alikuwa under remote control.
 
Nitammis sana Malya na maswali yake ya kichokozi. "Kama gari la OCD lilikuwa na siti tano na nyie mlikuwa saba , mueleze mheshimiwa jaji nani alimkalia Kingai"[emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
9.Na mheshimiwa Mbowe anaenda kwanza Ikulu kabla ya kuonana na familia yake.
 
Hakuna uficho wowotè usiukuwa wazi.
Kila mwenye akili ameuona mwenendo wa kesi.
Kila uchao serikali na mahakama zinadhalilishwa.
Eti askari ofisa wa polisi anaumwa kuharisha na kukimbilia chooni , akiulizwa na kushindwa kujibu maswali.
Na bado Jaji Tiganga anasema kuna kesi ya kujibu!
Ninyi kizazi cha nyoka ndio hamna uwezo wa kuona na kuelewa.
 
Mpaka ipatikane Katiba Mpya ndo heshima itakuwepo nchi hii. Katiba iliyopo kwa sasa haitambui umuhimu wala udhaifu.
Na hata Jaji Mkuu akijitafakari ataishia kulalamika kama wewe na wengine.

"Kumaliza tatizo ni kudeal na mzizi wake"
 
UONGO UONGO MTUPU KUTOKA KILA KONA YA SERIKALI
 
Kwani haiwezekani kwa uhalali kabisa Jaji kuona kwamba Mbowe ana kesi ya kujibu, kwa maana ya kwamba kuna suala lina utata wa kufafanuliwa na kujulikana kisheria, si kwamba Mbowe ana hatia, au hata Jqji kutaka Mbowe kupata nafasi ya kusafisha jina lake mahakamani kwa ku challenge mashitaka, halafu, hapo hapo, upande wa mashitaka ukajiona wenyewe hauna kesi yenye ushahidi wa kutosha kumshitaki Mbowe?

Kama kweli Mbowe hana hatia, hamuoni kwamba Jaji, kwa kumpa Mbowe nafasi ya kujitetea bila kusema hakuna kesi ya kujibu, alikuwa amempa Mbowe nafasi nzuri ya kupata haki yake ya kuwa exonerated through a court procedure itakayochambua kesi kwa umakini, na kwamba sasa, kwa mashitaka kufutwa, Mbowe amekosa haki yake hii?

Where is the contradiction?
 
Nitammis sana Malya na maswali yake ya kichokozi. "Kama gari la OCD lilikuwa na siti tano na nyie mlikuwa saba , mueleze mheshimiwa jaji nani alimkalia Kingai"[emoji1787][emoji1787][emoji119]
😁😁😁
 
Hii nchi ina usanii mwingi.
 
Unamaanisha hakukuwa na uwakililishi kutoka TEC? sidhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…