Jaji Joachim Tiganga ameikosesha Mahakama point tatu muhimu dhidi ya Serikali

Hamna Jaji mule...alichezea nafasi yake wakati utetezi wamefunga ushahidi....

Jaji hasara...
 
Hamna Jaji mule...alichezea nafasi yake wakati utetezi wamefunga ushahidi....

Jaji hasara...
 
Serikali awakupima check walivyoaibika, mahakimu, mawakili rudisheni kodi zetu mlizotumia kama posho ya kushiriki dhuluma ya ubambikaji.
 
Jaji Joakim anachukua posho ya shs ngapi kwa siku
Laki 5 posho na laki 2 ya kulala hotel.
Hii kesi walikuwa wakiisogeza mbele Ili watafune kodi zetu.Washajenga washanunua magari kupitia kesi hii.
 
TEC ipi hiyo hii yenye maaskofu wanaolawiti watoto wadogo?? Wewe ni kenge hujitambui na udini wako takataka wewe
 
Tiganga na majaji wote wa mwendazake WAMEIBAKA MAHAKAMA, Katiba mpya inahitajika sana ili kukomesha majaji wa hovyo kama hao.
 
mahakama ni tawi la ccm
 
Laki 5 posho na laki 2 ya kulala hotel.
Hii kesi walikuwa wakiisogeza mbele Ili watafune kodi zetu.Washajenga washanunua magari kupitia kesi hii.
Huyu Jaji ni mhujumu uchumi na kisha akasema kuna kesi ya kujibu wakati DPP kakataa
 
3.Siku Moja kabla ya Mbowe kuanza kujitetea,Rais anakutana na viongozi wa dini na anaombwa amalize suala la Mbowe Kwa kumsamehe!
Waliomba rais atumie busara kumaliza suala hilo, siyo kumsamehe (amsamahe kwa kosa gani/lipi?)
 
Jaji angemaliza mapema angekosa kupiga perdiem hapo watu wamepiga pesa ndefu sn kila mmoja siyo chini ya 40M toka kesi ianze nje na mishahara yao
Ila pesa isiyo ya haki huwa haina maendeleo, utashangaa hizo milioni 40 pengine leo hawana hata mia na hakuna cha maana mtu kafanya.
 
Sasa Kama mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu mlitaka mahakama iseme hana hatia?
Nadhani tatizo ni uwezo wako wa kuchanganua mambo. Aliyeleta kesi na Mashahidi wote ni DPP, baadae tukaona DPP kashindwa kuleta Mashahidi wengine wengi tuu akafunga ushahidi. Tumeona sote kilichoendelea mahakamani na jinsi Mashahidi wote walivyoshindwa kuthibitisha pasi na shaka ushiriki wa Mbowe na wenzake kwenye ugaidi.
 
Umesema wameshindwa kuthibitisha UGAIDI wa MBOWE.kwani mahakama imetoa hukumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…