tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Ila mkuu hawalipwi na chama kule bungeni hivyo hatuwezi kuwapotezea tu.Ni vigumu wabunge ambao hawajawachuguliwa na wananchi kuongea mambo ya wananchi.
Tatizo tunajitoa ufahamu kwamba hawa wabunge wamechaguliwa na wananchi na wana ridhaa ya wananchi kitu ambacho sio kweli. Hawa ni wabunge waliopachikwa na chama na wataongea zaidi maslahi ya chama chao.
Wanaongea ya kwao,mfano ni huu wa kuijadili Marekani,hatukuwatuma!Ni vigumu wabunge ambao hawajawachuguliwa na wananchi kuongea mambo ya wananchi.