Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

Imeshapangwa,hapo anaenda kuzuga tu!

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Wasiwasi wako tu. Labda angesema Kilatini "prima facie" ungeelewa zaidi. Hii ni kesi ya ugaidi si ya uzururaji au kuiba kuku wa Mpare.

Unapigia Mbuzi guitar? Kama hakuelewa lugha anayoombea matoke kila siku, hiyo lugha ya kigeni ndiyo ataielewa?[emoji28]
 

Pia upande wa Jamhuri kufunga ushahidi wait ghafla na kuacha mashahidi wake, pia kinaleta maswali.
 
kwa siku unasima watsapp messages ngapi?na kufanya maamuzi?
WhatsApp sms hata ziikiwa elfu moja, kama kila moja inajitegemea na ina maamuzi tofauti wala haina tatizo. Lakini kama hizo elfu moja zikuwezeshe kufanya uamuzi mmoja hapo ndo penye kasheshe
 
Endapo maamuzi yatatoka tarehe 18/02/2022 naaamini yataingia Kwenye records za Dunia Kwa kesi yenye facts in bulk of pages kuamuliwa ndani 72 hours.
 
kwa siku unasima watsapp messages ngapi?na kufanya maamuzi?
Endapo maamuzi yatatoka tarehe 18/02/2022 naaamini yataingia Kwenye records za Dunia Kwa kesi yenye facts in bulk of pages kuamuliwa ndani 72 hours.
 
Sisi tunamsubiri kwa maamuzi yake ya kimchongo , tuko tayari
Napata pia wasiwasi pale ninapohusianisha kesi na maamuzi ya Mahakama huko Mbeya ya kumfunga kijana mdogo kifungo Cha maisha Kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya Kiongozi wa CCM moto. Hakimu aliyetoa hukumu Ile ni reflection ya aina w watendaji wa Mahakama tulionao. Promise to promotion
 
Nadhan unapoteza muda kwa ku Argue na mauvccm

WhatsApp sms hata ziikiwa elfu moja, kama kila moja inajitegemea na ina maamuzi tofauti wala haina tatizo. Lakini kama hizo elfu moja zikuwezeshe kufanya uamuzi mmoja hapo ndo penye kasheshe
 
Inawezekana kana sababu mtoa maamuzi ndo alikuwa anaandika na kusikiliza, hata siku iyo iyo angeweza kutoa maamuzi
 
Wakicheza na muhimili wa mahakama wataleta vita tanzania watu wataamua kuchukua sheria mkononi
Watanzania gani unaowaongelea? Watu wako busy kutafuta hela wapeleke chakula mezani, wasomeshe watoto wao, waishi maisha wayatakayo. Hakuna mtanzania anaweza kuchukua sheria mkononi kwa ajili ya kumtetea huyo Mbowe!

Hata hako kakikundi kake la CHADEMA kanaweza kuandika JF tu lakini hakawrzi kuingia mtaani
 

..subiri atakapoanza kuwashughulikia wana-ccm.
 

Hahahaa haswaa.
 
Unafikiri wote wanaosimamia haki nchi hii wanamuamini Mungu?
 
Sheria inasemaje kwa mtu kuharibu mali ya mwingine, haswa kuchoma moto?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sisi tunamsubiri kwa maamuzi yake ya kimchongo , tuko tayari
Aendelee kutengeneza mchongo was kutafuna Kodi ya mlala hoi pamoja na timu nzima ya michongo 🤔.Baadae na sisi tinawafungulia kesi ya uhujumu uchumi tuone mhujumu uchimi ni nani na je kama pia sii ugaidi Kwa mlalahoi mlopa Kodi , tozo na ushuru .
 
..Jaji alitakiwa asikilize hoja za utetezi kabla ya kuamua kama watuhumiwa wanayo kesi ya kujibu au la.

..Huyu Jaji kila anapotaka kufanya jambo baya anakimbilia kujadiliana na mawakili OFISINI / FARAGHA.
Kule chamber wanakoitana huwa wanaongea kwa uwazi kabisa, prosecutor anaweza akaulizwa hadi hapa wewe unaona ume establish kesi ya kujibu? Wanafanya hivyo ili kurahisisha procedures zinazofuata.

Unaona jana akina Kibatala walipotoka chamber wakaachana kabisa na suala la submission wakati ilikuwa muhimu sana kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…