Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Hapa ndipo akili ya vijana wa ccm ilipoishia.kwa siku unasima watsapp messages ngapi?na kufanya maamuzi?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndipo akili ya vijana wa ccm ilipoishia.kwa siku unasima watsapp messages ngapi?na kufanya maamuzi?
Imeshapangwa,hapo anaenda kuzuga tu!Ni muda muafaka kwa Rais @SuluhuSamia kuliomba radhi Taifa na Dunia kwa kudanganya kupitia vyombo vya Habari vya Kimataifa juu ya Tuhuma mlizombambikia @freemanmbowetz, ili kulinda hadhi ya cheo hicho na Heshima ya Taifa letu pendwa. Kiukweli, Mama umetukosea Sana. Wako wapi waliofungwa kwenye kesi hii kama ilivyoripotiwa wakati rais akihojiwa na BBC?
Je ni kweli kuwa Mbowe alikuwa ametoroka nchi?
Mwendesha mashtaka kaiambia mahakama kuu kuwa hakuna mtuhumiwa aliwahi kufungwa kwenye kesi hii....kama mheshimiwa rais alikuwa sahihi nashauri mwendesha mashtaka Inspector Swila afukuzwe kazi na kufunguliwa mashtaka ya kumdhalilisha rais wetu mpendwa SSH
Huyu jaji sijui itakuaje maana kwenye kesi ndogo huyu jaji alikuwa anaomba muda wa wiki mbili au 3 kujibu mapingamizi na kutoa hukumu (rulling) Sasa hii kesi Ina kurasa 1500 amesema ijumaa atatoa rulling au hukumu ya ana kesi ya kujibu au Hana arejee mtaani,siku mbili zitamtosha kusoma hukumu ndefu Kama hii,au ana maamuzi tayari alishayaandika ???.
Wasiwasi wako tu. Labda angesema Kilatini "prima facie" ungeelewa zaidi. Hii ni kesi ya ugaidi si ya uzururaji au kuiba kuku wa Mpare.
Hivi hujisikii aibu?!kwa siku unasima watsapp messages ngapi?na kufanya maamuzi?
Namimi nimepata wazo kama lako. Inawezakana pia hata Mbowe na Mawakili wake wanajua hilo. Ndio maana hawakupinga tarehe hiyo
Kitendo cha Mbowe kuitwa peke yake na kukakaa kikao yeye, Jaji na Mawakili wa pande zote mbili eti kujadili "chakula" kilileta matumaini kwamba kuna jambo kubwa linaweza kutokea
Lakini kitendo kilichothibitisha ni kile kikao cha pande zote mbili yaani Mashtaka na Utetezi kukutana na Jaji baada ya upande wa Mashtaka kufunga ushahidi wao na kisha wakakubaliana waliyokubaliana na Jaji akatamka atatoa Ruling katika siku tatu zijazo!
Yote kwa yote tunatamani hii kesi ifutwe. Iwe kwa Nolle, kwa hukumu au hapohapo kwenye Ruling Washtakiwa wasiwe na kesi ya kujibu
Mungu Awaongoze wote waliopewa Mamlaka ya kusimamia haki katika Taifa hili
WhatsApp sms hata ziikiwa elfu moja, kama kila moja inajitegemea na ina maamuzi tofauti wala haina tatizo. Lakini kama hizo elfu moja zikuwezeshe kufanya uamuzi mmoja hapo ndo penye kasheshekwa siku unasima watsapp messages ngapi?na kufanya maamuzi?
Endapo maamuzi yatatoka tarehe 18/02/2022 naaamini yataingia Kwenye records za Dunia Kwa kesi yenye facts in bulk of pages kuamuliwa ndani 72 hours.kwa siku unasima watsapp messages ngapi?na kufanya maamuzi?
Napata pia wasiwasi pale ninapohusianisha kesi na maamuzi ya Mahakama huko Mbeya ya kumfunga kijana mdogo kifungo Cha maisha Kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya Kiongozi wa CCM moto. Hakimu aliyetoa hukumu Ile ni reflection ya aina w watendaji wa Mahakama tulionao. Promise to promotionSisi tunamsubiri kwa maamuzi yake ya kimchongo , tuko tayari
WhatsApp sms hata ziikiwa elfu moja, kama kila moja inajitegemea na ina maamuzi tofauti wala haina tatizo. Lakini kama hizo elfu moja zikuwezeshe kufanya uamuzi mmoja hapo ndo penye kasheshe
Mkuu hii kesi niliona ni Ze Comedy pale ambapo shahidi uchwara aliyemuita Mbowe "Homeboy" kwa miaka 14 na hajui maana ya hilo neno ....Na hataki kusikiliza ORAL SUBMISSION toka upande wa utetezi. WHY?
Watanzania gani unaowaongelea? Watu wako busy kutafuta hela wapeleke chakula mezani, wasomeshe watoto wao, waishi maisha wayatakayo. Hakuna mtanzania anaweza kuchukua sheria mkononi kwa ajili ya kumtetea huyo Mbowe!Wakicheza na muhimili wa mahakama wataleta vita tanzania watu wataamua kuchukua sheria mkononi
Watanzania gani unaowaongelea? Watu wako busy kutafuta hela wapeleke chakula mezani, wasomeshe watoto wao, waishi maisha wayatakayo. Hakuna mtanzania anaweza kuchukua sheria mkononi kwa ajili ya kumtetea huyo Mbowe!
Hata hako kakikundi kake la CHADEMA kanaweza kuandika JF tu lakini hakawrzi kuingia mtaani
I believe, kwa mtu yoyote anayeifanya kazi aliyoizowea, hadi hapo atakuwa alikuwa amechukua notes ya hizo 'facts' muhimu anazozihitaji kufikia uamuzi wake.
Msomi kwa kawaida hasomi kila kilichoandikwa kwenye andiko, mfano ktk kitabu kama unasoma hadi maandishi yanayosema "imechapishwa na Vuga Press, Lushoto." basi unahitaji maombi tu.
Unafikiri wote wanaosimamia haki nchi hii wanamuamini Mungu?Namimi nimepata wazo kama lako. Inawezakana pia hata Mbowe na Mawakili wake wanajua hilo. Ndio maana hawakupinga tarehe hiyo
Kitendo cha Mbowe kuitwa peke yake na kukakaa kikao yeye, Jaji na Mawakili wa pande zote mbili eti kujadili "chakula" kilileta matumaini kwamba kuna jambo kubwa linaweza kutokea
Lakini kitendo kilichothibitisha ni kile kikao cha pande zote mbili yaani Mashtaka na Utetezi kukutana na Jaji baada ya upande wa Mashtaka kufunga ushahidi wao na kisha wakakubaliana waliyokubaliana na Jaji akatamka atatoa Ruling katika siku tatu zijazo!
Yote kwa yote tunatamani hii kesi ifutwe. Iwe kwa Nolle, kwa hukumu au hapohapo kwenye Ruling Washtakiwa wasiwe na kesi ya kujibu
Mungu Awaongoze wote waliopewa Mamlaka ya kusimamia haki katika Taifa hili
Sheria inasemaje kwa mtu kuharibu mali ya mwingine, haswa kuchoma moto?Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la.
Mashaka ninayopata ni muda wa siku mbili kwa Jaji na timu yake kusoma na kutoa maamuzi ya haki. Kama uamuzi mdogo wa kesi ndani ya kesi ilichukua weeks kutolea maamuzi inakuwaje kesi kubwa itolewe maamuzi ndani ya two days? Endapo maamuzi yatatoka tarehe 18/02/2022 naaamini yataingia Kwenye records za Dunia Kwa kesi yenye facts in bulk of pages kuamuliwa ndani 72 hours.
Napata pia wasiwasi pale ninapohusianisha kesi na maamuzi ya Mahakama huko Mbeya ya kumfunga kijana mdogo kifungo Cha maisha Kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya Kiongozi wa CCM moto. Hakimu aliyetoa hukumu Ile ni reflection ya aina w watendaji wa Mahakama tulionao. Promise to promotion
Aendelee kutengeneza mchongo was kutafuna Kodi ya mlala hoi pamoja na timu nzima ya michongo 🤔.Baadae na sisi tinawafungulia kesi ya uhujumu uchumi tuone mhujumu uchimi ni nani na je kama pia sii ugaidi Kwa mlalahoi mlopa Kodi , tozo na ushuru .Sisi tunamsubiri kwa maamuzi yake ya kimchongo , tuko tayari
Kule chamber wanakoitana huwa wanaongea kwa uwazi kabisa, prosecutor anaweza akaulizwa hadi hapa wewe unaona ume establish kesi ya kujibu? Wanafanya hivyo ili kurahisisha procedures zinazofuata...Jaji alitakiwa asikilize hoja za utetezi kabla ya kuamua kama watuhumiwa wanayo kesi ya kujibu au la.
..Huyu Jaji kila anapotaka kufanya jambo baya anakimbilia kujadiliana na mawakili OFISINI / FARAGHA.