Jaji Maraga adaiwa kukataa Kshs. 500mil iliyowekwa kwenye akaunti yake siku ya Alhamisi

sasa c kashafanya maamuzi pesa ya nini tena au ilikuwa before
 
Msabato anaeishi kwa kanuni ya bibilia na bibilia pekee, anatambua Mungu amesema "Rushwa hupofusha"
 
Ingekuwa ni Mbowe asingemwambia "ntu" yeyote yule.
 


May Allah bless Me and You
 
Duuuuh,kibongobongo zidisha huo mzigo mara kama 15 hv ndio upate pesa madafuuu,inahitaji moyo wa kibandidu sana kuzikataa hizo pesa,watumaji walitaka kumuhonga ili atoe favor kwenye kesi ya uchaguzi kwa upande wao watoaji
Mkuu exchange rates kwa sasa KESH 1 ni sawa na TSH 21.75 (yaan kwa 15 mzigo umeupunguza) hivyo huo mzgo ni sawa na 10,870,000,000.00Tzs

Kwa maneno mengine ni sawa na kusema...mtu anaweza akajenga makazi yake akawa na nafsi ya kutosha sawa na hostel mpya za UDSM!. Na bado akanunua Land cruiser V8. Na akamlipa JPM mshahara wake wa miaka yte 5.
 
Hii jamaa ni hatare, inabidi atafute hifadhi ya kisiasa haraka sana, anaweza akapotea ghafla kama kuleeee kwa jirani
 


Duuuuuh,kweli noma mkuu,kama xchange rate ya sasa ndio ipo hivyo,huyo jaji kweli ni bandidu,yupo imara sana kutetea miiko na maadili ya kazi yake
 
Hahahaaaaaa GOVI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…