TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,611
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni mara 20 mkuuDuuuuh,kibongobongo zidisha huo mzigo mara kama 15 hv ndio upate pesa madafuuu,inahitaji moyo wa kibandidu sana kuzikataa hizo pesa,watumaji walitaka kumuhonga ili atoe favor kwenye kesi ya uchaguzi kwa upande wao watoaji
Kisii ni mji uko kwa kabila la wakisii. wakisii ni kama ndugu na wakuriaKuna kabila la Wakii Kenya?
Kisii sio mji?
HahaDuh kama ni Msabato basi kazi Ipo, omba Mungu ukutane na Mujahidina Sio Msabato aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa ni Mbowe asingemwambia "ntu" yeyote yule.Rais wa Mahakama Kuu ya Kenya(Supreme Court), Jaji David Maraga anasemekana kukataa kiasi cha Kshs. 500,000,000 zilizowekwa kwenye akaunti yake ya benki ya KCB Alhamisi mchana.
Kwa mujibu wa Makao makuu ya KCB yaliyopo KENCOM house Nairobi, akaunti ya Dr. Maraga ilipokea pesa hizo saa tisa mchana kutoka kwa mtu asiyejulikana ambaye kwa mujibu wa Jaji huyo ana lengo la kumchafua yeye na mahakama.
Meneja wa tawi wa KCB, Bw. Kamau Ndung'u amesema Bwana Maraga ametaka pesa hizo zirudishwe zilipotoka kwani hakutegemea pesa kutoka kokote na wao kama benki watafanya hivyo mara moja na pia watajitahidi kumpata mtu aliyeweka pesa hizo ili kuweka mambo sawa na wazi.
=======
The President of Supreme court in Kenya, Justice David Maraga is said to have rejected Kshs.500,000,000 deposited in his Kenya Commercial Bank account on Thursday afternoon.
According to KCB headquarters at KENCOM house, Nairobi. DR.Maraga’s account received Kshs.500m at 3:14pm from unknown depositor who according to CJ wanted to taint his image and that of the court.
In a statement delivered by KCB Executive branch manager Mr.Kamau Ndung’u, Maraga refused the money and ordered the bank to reverse the transaction claiming that he did not expect any money from any quarters.
“We have reached our client Dr.Maraga and its clear he did not expect any money from anywhere. He has requested the bank to do a reverse and we are not going to take time.” said Mr.Kamau
“Our client is bitter with it and the bank is going to produce the depositor in due course for purpose of clarity.” Added Mr.Kamau who spoke to our reporters hours after the news hit on social media.
Hehe, upeo sio? Ni mahakama ya kilele jombaa, acha kijifanya tumbili wewe!....Niliona kwenye TV moja ya Kenya hiyo The Supreme court wame translate kuwa ni Mahakama ya upeo,Hahahaaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
....K24 if not mistaken waliandika Mahakama ya upeo. Huku kwetu kuna mtu aliitwa tumbili ndani ya bunge but today he is our national hero.Hehe, upeo sio? Ni mahakama ya kilele jombaa, acha kijifanya tumbili wewe!
Mkuu exchange rates kwa sasa KESH 1 ni sawa na TSH 21.75 (yaan kwa 15 mzigo umeupunguza) hivyo huo mzgo ni sawa na 10,870,000,000.00TzsDuuuuh,kibongobongo zidisha huo mzigo mara kama 15 hv ndio upate pesa madafuuu,inahitaji moyo wa kibandidu sana kuzikataa hizo pesa,watumaji walitaka kumuhonga ili atoe favor kwenye kesi ya uchaguzi kwa upande wao watoaji
Mkuu exchange rates kwa sasa KESH 1 ni sawa na TSH 21.75 (yaan kwa 15 mzigo umeupunguza) hivyo huo mzgo ni sawa na 10,870,000,000.00Tzs
Kwa maneno mengine ni sawa na kusema...mtu anaweza akajenga makazi yake akawa na nafsi ya kutosha sawa na hostel mpya za UDSM!. Na bado akanunua Land cruiser V8. Na akamlipa JPM mshahara wake wa miaka yte 5.
Yes yupo mtetetezi wa WANYONGE kutoka CHATO maana mzee EL alishatajwa kuwa fisadired: umefanya utafiti?
rushwa kila mahali mkuu.
kuna politician maskini TZ?
Hahahaaaaaa GOVIWanaomlinda huyo jaji wanapokea amri kwa Kenyatta. Kitu ambacho mashabiki tunakoesea kwa kukosa akili Watu l. Kenyatta anajua mpaka chupi gani huyo jaji amevaa mpaka result alijua.
Urais sio kitu kidogo ana kila rasilimali miguuni mwake sasa story za Kijaluo za kukataa pesa zina govi hizo wangewahonga hata kabla wangeamua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wake yupo humu ni teacher hapo Kinyamwezi chanika dsmAgoro Anduru
hii n app au? kama n app, n app gani hii?Bilion 10