Uzuri Hukumu zake zipo documented, unaweza kufungua hii link; Home | TanzliiJaji wa aina hii inaonekana hata hukumu zake hazikuwa za Haki, mashaka matupu kama kweli alikuwa anatoa hukumu za haki!!!
Muhusika wa kuchana hukumu ni Lowassa soma habari kamiliHakiks udhalimu wote utawekwa wazi, alafu watakuja Sukuma gang wakuambie alikua mzalendo.
contempt of court ingemhusuSheria inasemaje kwa mfano Raia wa kawaida akichana hiyo karatasi ya hukumu iliyotolewa dhidi yake ?
Waziri Mkuu Lowassa alikuwa wakati wa Rais Magufuli!!? Naona una hasira na Magufuli sana mpaka unawashwa na mkund wako!!Ulitaka aseme wakati wa Magufuli halafu unajuwa kingefuata nini? Angeweza kutekwa, angeweza kufunguliwa kesi ya utakatishaji fedha au angeweza hata kuuliwa.
Naunga mkono msimamo wa Jaji Mgeta
Yaani wanafikiri kila kitu kibaya ni Mzalendo Magufuli tu alifanya!!Muhusika wa kuchana hukumu ni Lowassa soma habari kamili
JPM waziri mkuu alikuwa Kassim. Huyu siyo mtu wa hivyo. Itakuwa ni zile enzi za JK au Mkapa. Ndo kipindi tulikuwa na PMs wenye 'Nyodo.'
Kesi ilianzia Baraza kabla haijafika Mahakama Kuu!Hukumu ya mahakama kuu inaendaje Baraza la ardhi la wilaya?kesi zikishindikana kwenye mabaraza ya Ardhi ya wilaya na kata ndo zinaenda mahakamani,sasa hii yako mbona imekuwa vise versa [emoji848]Tena Kuna kiwango Cha thamani ya kiwanja/jengo ikizid hayo mabaraza yanakuwa hayana uwezo wa kushughulikia kesi ya namna hiyo[emoji120]
Sumaye mbona hamumtaji? Nae kwao ni arushaMbona kasema mwenyewe Judge waziri mkuu aliyekuwa likizo kwao Arusha
Obviously ni Edward Ngoyai lowasa
Kumbe Hanang ipo Arusha?Sumaye mbona hamumtaji? Nae kwao ni arusha
Sumaye mbona hamumtaji? Nae kwao ni arusha
Mzee acha kuabudu binadamu wezako hata kama kula yako inategemea uwepo waoNauliza, Je Jaji mstaafu Mugeta kumtuhumu Waziri Mkuu mstaafu kwa kuchana hukumu mbele yake Je maneno hayo dhidi ya kiongozi Mkuu ni ukosefu wa maadili au Nini hiki?
Tuangalie vizuri mienendo ya Majaji kwa maoni yangu sio busara kumtuhumu kiongozi wa juu kama waziri Mkuu!!!
Tukiachia tabia hii kesho utasikia anatuhumiwa Makamu wa Rais siku nyingine Rais, huu ni utovu wa nidhamu ulio jificha kwenye mwamvuli wa kustaafu.
Unafiki na uzandiki ndio umewatawala vichwani mwao.
Anayepanga majaji wa kusikiliza kesi ni jaji mfawidhi wa mahakama husika, msajili kazi yake ni kuzipokea kesi na kuzisajili.Hata simba, siyo jaji yule. Fikiria afisa wa TISSS anapokuwa msajili.wa mahakama. Yeye ndiye anayepanga kesi gani isikilizwe na jaji gani.
Hapana mkuu. Kuchana nakala ya hukumu sio kosa, maana haibatilishi hukumu. Nakala ya hukumu ni haki ya kila upande kwenye kesi, ukishapewa unaweza kuifanya chochote utakacho , hata kufungia maandazi au kuitumia chooni. Haitabadilisha chochote kilichoamuliwa na wala haitatengeneza kosa la jinai.contempt of court ingemhusu
Wewe ni mpuuzi,jaji anasema ilichanwa na waziri mkuu mstaafu wewe unawaza Magufuli au unamimba ya MagufuliUlitaka aseme wakati wa Magufuli halafu unajuwa kingefuata nini? Angeweza kutekwa, angeweza kufunguliwa kesi ya utakatishaji fedha au angeweza hata kuuliwa.
Naunga mkono msimamo wa Jaji Mgeta
Kwa lipi hasaJaji wa aina hii inaonekana hata hukumu zake hazikuwa za Haki, mashaka matupu kama kweli alikuwa anatoa hukumu za haki!!!
Ndio jaji kasema waziri mkuu mstaafu, nashangaa wajinga humu wanamuandama Kassim majaliwa,wawe wanasomaJPM waziri mkuu alikuwa Kassim. Huyu siyo mtu wa hivyo. Itakuwa ni zile enzi za JK au Mkapa. Ndo kipindi tulikuwa na PMs wenye 'Nyodo.'
Wabongo vilaza sana,yeye kasema waziri mkuu mstaafuKataja waziri mkuu alikuwa anatoke Monduli, hakuna waziri mkuu aliyetokea Monduli kipindi cha Magufuli
Mahakamani watu huwa wana nafasi mbili, kuwa mdai au kuwa mdaiwa. Nafasi hizo hazihusishi chochote kwenye kazi zao au vyeo vyao kisiasa serikalini. Hata Jaji mkuu anaweza kuwa mdaiwa na akatakiwa kufika mahakamani kutoa ushahidi.Jambo la pili tujiulize,kama ni kweli alichana hiyo hukumu,ni jambo sahihi kwa kiongozi yoyote wa serikali kuchana hukumu kama hizo?
Jambo la tatu ni tujiulize,kuchana hiyo hukumu,kiongozi huyo aliidharau Mahakama kama mhimili au alimdharau Jaji husika? ( Maana tunaona aliyeumia ni jaji binafsi na wala siyo mahakama)
Hawajui kuwa wao ni kama wauza bidhaa dukani (wauza duka), wamekaa kusubiri wateja. Mteja anapokuja unamhudumia kama mfalme..ajabu wao wamejigeuza kuwa wafalme na sasa wanahubiri wananchi wawe na imani na mahakama. Imani ambayo wao wenyewe (majaji) wameivunja kwa wananchi.Majaji wengi nyoko sana, labda hujakutana nao in vis-a-vis meeting, wanajiona Miungu watu yaani, wanakera mno, pumbaf sana 😡
Kweli wewe hujielewiNauliza, Je Jaji mstaafu Mugeta kumtuhumu Waziri Mkuu mstaafu kwa kuchana hukumu mbele yake Je maneno hayo dhidi ya kiongozi Mkuu ni ukosefu wa maadili au Nini hiki?
Tuangalie vizuri mienendo ya Majaji kwa maoni yangu sio busara kumtuhumu kiongozi wa juu kama waziri Mkuu!!!
Tukiachia tabia hii kesho utasikia anatuhumiwa Makamu wa Rais siku nyingine Rais, huu ni utovu wa nidhamu ulio jificha kwenye mwamvuli wa kustaafu.
Unafiki na uzandiki ndio umewatawala vichwani mwao.