Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Uzuri Hukumu zake zipo documented, unaweza kufungua hii link; Home | TanzliiJaji wa aina hii inaonekana hata hukumu zake hazikuwa za Haki, mashaka matupu kama kweli alikuwa anatoa hukumu za haki!!!
Kasome hukumu zake halafu njoo hapa utuambie ni ngapi zilikatiwa RUFAA na matokeo yalikuwaje baada ya rufaa hizo