Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Huyo Siyani SI ndio yule wa Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama hawapo?
Ulitegemea achukue hatua gani yeye kama jaji?Itasaidia Nini kwa sasa? Alitakiwa asema jambo hilo wakati uleule angeonekana jasiri na mwenye msimamo madhubuti kuliko kusema sasa.
Alionyesha udhaifu mkubwa sana kwa kutokuchukua hatua kipindi kile akabaki na maumivu Hadi Leo!!
Anawafumdisha nidhamu ya uoga, kwamba ukifanyiwa jambo baya usiseme usubirie Hadi siku ya kustaafu ndipo uelezee kama stori!
Apeleke unafiki wake huko.Ulitegemea achukue hatua gani yeye kama jaji?
Jaji akishatoa hukumu kinachofuata ni mamlaka zingine kuchukua hatua
Ulitaka aseme wakati wa Magufuli halafu unajuwa kingefuata nini? Angeweza kutekwa, angeweza kufunguliwa kesi ya utakatishaji fedha au angeweza hata kuuliwa.Apeleke unafiki wake huko.
Amestaafu kwa fedheha, ni bora angekaa kimya kama alivyo fanya mwanzoni kuliko kuonyesha udhaifu wake hadharani.coward!!!
Ulitaka aseme wakati wa Magufuli halafu unajuwa kingefuata nini? Angeweza kutekwa, angeweza kufunguliwa kesi ya utakatishaji fedha au angeweza hata kuuliwa.
Naunga mkono msimamo wa Jaji Mgeta
Hivi pm na jaji ni yupi mwenye power kwenye nchi ya kidemokrasia?Huyu huyu aliyekuwa anahudumu na marehemu stone?
Ukituliza akili kidogo utaona mantiki ya aliyoyasema jaji, lakini najua wewe ni kichwa maji huwezi elewa chochote.Itasaidia Nini kwa sasa? Alitakiwa asema jambo hilo wakati uleule angeonekana jasiri na mwenye msimamo madhubuti kuliko kusema sasa.
Alionyesha udhaifu mkubwa sana kwa kutokuchukua hatua kipindi kile akabaki na maumivu Hadi Leo!!
Anawafumdisha nidhamu ya uoga, kwamba ukifanyiwa jambo baya usiseme usubirie Hadi siku ya kustaafu ndipo uelezee kama stori!
JPM waziri mkuu alikuwa Kassim. Huyu siyo mtu wa hivyo. Itakuwa ni zile enzi za JK au Mkapa. Ndo kipindi tulikuwa na PMs wenye 'Nyodo.'Ni enzi za Magufuli nini, manake hizi zilikuwa enzi za wendawazimu.
Hivi wewe una umri gani maana unaongea kama umepata ganzi ya ubongo hivi, aliyekuambia familia inataka ikae na Baba ama Mama masaa 24 bila ya kufanya kazi ni nani?Miaka 65!!!
nadhani wengi wao hawatambui hata umri wao wa kuzaliwa, ukiwatizama kwa sura zao wengi Wana umri mkubwa!!!
Nawashauri wangeomba kustaafu kwa hiari ili wapate muda wa kufanya kazi zao za kifamilia.
Miaka 55, 60, 65 ni umri mkubwa sana , ni vyema wakastaafu wakiwa na miaka 50.
Tanzania Mahakama haijawahi kuwa Huru,Nchi huo aliyehuru ni mwanasiasa, anatunga sheria na bado anaamua namna ya kutumia hiyo sheria.Sa Kama Kiongozi kadharau mahakama na hakuna kitu kafanywa wanataka wana nchi tupate wapi Imani na mahakama?
Contradiction !Sa Kama Kiongozi kadharau mahakama na hakuna kitu kafanywa wanataka wana nchi tupate wapi Imani na mahakama?
Sheria inasemaje kwa mfano Raia wa kawaida akichana hiyo karatasi ya hukumu iliyotolewa dhidi yake ?Kaingiliwa uhuru wake badala ya kuchukua hatua wakati ule kuonyesha kuchukuzwa na jambo Hilo badala yake anakuja kutueleza Leo hii anapo staafu!!!!
Huu ni uoga na unafiki ambao haupaswi kuigwa.
Unafiki mtupu
KabisaNaomba kutofautiana na wewe..
Kwa maoni yangu naona ni vyema kwanza ingejulikana kama ni kweli kuna huyo kigogo( Waziri mkuu) alichana hukumu ya mahakama? au jaji amejitungia stori?
Jambo la pili tujiulize,kama ni kweli alichana hiyo hukumu,ni jambo sahihi kwa kiongozi yoyote wa serikali kuchana hukumu kama hizo?
Jambo la tatu ni tujiulize,kuchana hiyo hukumu,kiongozi huyo aliidharau Mahakama kama mhimili au alimdharau Jaji husika? ( Maana tunaona aliyeumia ni jaji binafsi na wala siyo mahakama)
Kama hayo yote hapo juu ni kweli,je viongozi uliowaorodhesha hapo juu ukiwa na hofu kuwa iko siku nao watatuhumiwa, je wanayo haki ya kuchana hukumu iliyotolewa na viongozi wa mhimili mwingine?
La mwisho ni kuwa,maoni yako japo nayaheshimu, bali yamejaa ukale wa kuwatukuza viongozi uliowaita wa juu hata kama wakifanya makosa ya wazi,watu wakae kimya tu
Hapo sasa ndio patamu !Kama mahakama inalalamika sisi raia tukalalamikie wapi
Majaji wa Mahakama ya rufaa ni 65yrsMiaka 65
yaani munavyojifanya wajuaji mpaka munachosha.Itasaidia Nini kwa sasa? Alitakiwa asema jambo hilo wakati uleule angeonekana jasiri na mwenye msimamo madhubuti kuliko kusema sasa.
Alionyesha udhaifu mkubwa sana kwa kutokuchukua hatua kipindi kile akabaki na maumivu Hadi Leo!!
Anawafumdisha nidhamu ya uoga, kwamba ukifanyiwa jambo baya usiseme usubirie Hadi siku ya kustaafu ndipo uelezee kama stori!
Kataja waziri mkuu alikuwa anatoke Monduli, hakuna waziri mkuu aliyetokea Monduli kipindi cha MagufuliNi enzi za Magufuli nini, manake hizi zilikuwa enzi za wendawazimu.