ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Mpemba safi wewe. Kinyesi = vinyesi. Kikombe = Vikombe. Kesi = Vyesi.Jaji mkuu eti naye analalamika tu kwani hajui kuwa kwenye vyesi vya sasa vya uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na vinavyohusu wapinzani lengo ni ukomoaji na wala sio kukidhi matakwa ya kisheria.
Kwani ina maana hajui nani yuko nyuma ya hivyo vyesi.
Lakini kama umeua upelelezi wa mini?Yaani uuwe Leo uachwe tu mpaka upelelezi ukamilike mwezi septemba,2019 na wewe unasubiri upelelezi? Utakuwa siyo mtanzania labda.
Mkuu hoja hii tumeiongelea hapa JF miaka mingi...Jaji Mkuu hatakiwi kuwashinikiza majaji na mahakimu ktk maamuzi yao.
..lakini pia Jaji Mkuu aliwahi kutoa kauli kuwa Mahakama haitatoa ushirikiano kwa wanaharakati.
..Sasa hoja hii ya kupinga wananchi kuwekwa mahabusu muda mrefu huku upelelezi haujakamilika ni hoja ya muda mrefu wa wanaharakati.
..kwa hiyo inafurahisha kwamba Jaji Mkuu ameona mantiki ktk hoja hiyo na ameamua kuiunga mkono.
..Lakini itapendeza na itakuwa jambo la kiungwana kama ataomba radhi kwa kauli zisizopendeza alizowahi kutoa dhidi ya wanaharakati.
Amwambie boss wake anayetoa maagizo ya kuteka na kukamata then uhujumu uchumi, wakati uchumi wenyewe hauonekaniJaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahimu Juma amesema kesi zinatakiwa kufikishwa mahakama baada ya upelelezi kukamilika lakini kinachofanyika ni tofauti na kusababishia wafungwa kujaa magereza.
Kiongozi huyo aliyasema hayo leo jijini Dar es Salaam baada ya kuwaapisha mawakili alisema tangazo lilitolewa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) mwaka 2012 linawataka wasikamate watu kabla ya upelelezi kukamilika.
“Kwa bahati mbaya hilo halifuatwi utakuta watu wanakamatwa ndipo upelelezi unaanza hilo linachangiwa, alisesema Jaji Mkuu.
Aidha, Jaji Mkuu alisema kumekuwa na changamoto upelelezi kutumia muda mrefu kukamilika hivvyo wapelelezi wanatakiwa kulaumiwa na sio mahakama.
“Watu wa kulaumiwa hasa ni wspelelezi na sio mahakama upelelezi unachukua muda mrefu na sababu wanazozitoa mahakamani hazina mashiko sisi tunataratibu zetu ambazo DPP alishazitoa katika tangazo la mwaka 2012,” alisema Jaji Mkuu.
Aliongezea kuwa:” Tangazo linasema usimkamate mtu kabla ya upelelezi kukamilisha bahati mbaya hilo halifuatwi watu wanawakamata ndipo upelelezi unaanza inachabgia kuongeza wafungwa gerezani,” alisema Jaji Mkuu.
Ndo vichwa vya chama cha rangi ya majaniHuyu jamaa ndio jaji mkuu wa kiwango cha chini zaidi kuwahi kutokea nchi hii tangu ipate uhuru
Muda wa mazoezi huu mkuu hakuna wanga wala kabohaidretiUpo kazini mwanga mwezangu watu wamelala SAA hizi mjomba subili kupambazuke
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hupendi taifa lenye haki?Ndio nimepitia maandiko yake kadhaa na kuona kuwa kuna harufu ya uchochezi wa ghasia
Mimesikikiza recorded voice na kujilidhisha kuwa membe amevuka mipaka
Nimeona kundi lililopo nyuma yake nakujilidhisha kuwa membe anania ovu
Nimeona kauli zake za uchochezi kuhusu watu kutekwa na wasiwasi wa watumishi wa umma ni kweli mbembe amekengeuka
Hitimisho
Sio mambo ya kuwakamata wachochezi wadogo na wanasiasa wa upinzani tu hata ndani ya chama pia maana Charity began at home so badala ya kumuita kwenye KAMATI ya kichama apelekwe kwenye sheria za nchi bila kujali alikuwa nani na yuko nyuma ya nani tufanye sawa kama kwa wapinzani na wanaharakati
USSRView attachment 1307882View attachment 1307883View attachment 1307884View attachment 1307885View attachment 1307886
Sent using Jamii Forums mobile app
Na zile sauti zilikuwa fake?Hiyo account fake ... hayo ndio maono yangu
Wewe ni mpumbavu... vijana wa aina yako ndio mna lirudisha nyuma hili taifa miaka 60 iliyopita. Membe kaongea ukweli. Na ukweli siku zote unauma! Pia unatoa amri ukiwa kama nani.? Go to hell
Avatar yako inatia wasiwasi kama bado unajisaidia vizuriWewe ni mpumbavu... vijana wa aina yako ndio mna lirudisha nyuma hili taifa miaka 60 iliyopita. Membe kaongea ukweli. Na ukweli siku zote unauma! Pia unatoa amri ukiwa kama nani.? Go to hell
Sorry kwa kukuita mjinga! Imenilazimu tu.Ndio nimepitia maandiko yake kadhaa na kuona kuwa kuna harufu ya uchochezi wa ghasia
Mimesikikiza recorded voice na kujilidhisha kuwa membe amevuka mipaka
Nimeona kundi lililopo nyuma yake nakujilidhisha kuwa membe anania ovu
Nimeona kauli zake za uchochezi kuhusu watu kutekwa na wasiwasi wa watumishi wa umma ni kweli mbembe amekengeuka
Hitimisho
Sio mambo ya kuwakamata wachochezi wadogo na wanasiasa wa upinzani tu hata ndani ya chama pia maana Charity began at home so badala ya kumuita kwenye KAMATI ya kichama apelekwe kwenye sheria za nchi bila kujali alikuwa nani na yuko nyuma ya nani tufanye sawa kama kwa wapinzani na wanaharakati
USSRView attachment 1307882View attachment 1307883View attachment 1307884View attachment 1307885View attachment 1307886
Sent using Jamii Forums mobile app
raha Sana kula kulala kunya bure (kkkb) lazima uwaze hayo uliyowaza huna kingine!