Jaji Mkuu awakemea Gen Z wanaotukana Mahakama na Majaji

Jaji Mkuu awakemea Gen Z wanaotukana Mahakama na Majaji

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Tunaandika hukumu, wenye interest nazo wanazisoma, mahakimu wana hekima hawa, acha tu.

Majaji mkiwaona muwaheshimu, halafu wengine wameanzisha tabia ya kuwatukana Majaji, mahakimu na nini, si mnaita Generetion Z, kizazi gani hicho kisichokuwa na hekima hata kwa watu wazima?
 
Ma Genz ni vijana wa hovyo yeye wakifikishwa mahakamani ni kuwasweka ndani tu wakajifunze tabia njema

"Hawajafunzwa na mama zao hao....."
 
kuna chama cha siasa kilichopoteza uelekeo humu nchini,
kiliwapa mafunzo vijana wao juu ya namna ya kua na mihemko ili kuporomosha matusi kwa ustadi pale wanapokua hawana hoja.

Naona hizi ni miongoni mwa athari za moja kwa moja kwenye jamii.


hivi sasa chama hicho cha siasa cha waropokaji na matapeli wa pesa kwenye mikutano yao ya hadhara, kimeunda kikundi cha kushangilia vifo vya waTanzania wanaoaga dunia kwa namna mbalimbali, na wanalipwa kabisa.

so,
hongera jaji mkuu kwa kukemea utovu huo wa nidhamu kwa vijana hao.
ni matumaini yangu hatua zaidi za kuwachukulia, ziko jikoni.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Hawa majaj wenyewe wanajishushia heshama kwenye jamii lakin mbona kuna majaj wengine wanapendwa nakusifiwa na hao gen z?
 
Siyo kushangilia tu, wanateka, kufira na kuuwa wananchi.
Ni lichama la hovyo sana!
Sure gentleman, uko sahihi 100%
chadema imekua genge la kihaifu baada ya kua kiwanda cha kuporomosha matusi na kushangilia vifo vya wanadamu wenzao kwa muda mrefu sana.

ni muhimu hatua zaidi ya kukemea zikachukuliwa dhidi ya waporomosha matusi hao wanaopewa mafunzo ya kutukana viongozi na wanaofadhiliwa na chadema.
 
Ma Genz ni vijana wa hovyo yeye wakifikishwa mahakamani ni kuwasweka ndani tu wakajifunze tabia njema

"Hawajafunzwa na mama zao hao....."
waa
Ma Genz ni vijana wa hovyo yeye wakifikishwa mahakamani ni kuwasweka ndani tu wakajifunze tabia njema

"Hawajafunzwa na mama zao hao....."
Wachaaa wewe tutakuja kuwaona wako utakavowafunza vizuri
 
Back
Top Bottom