kuna chama cha siasa kilichopoteza uelekeo humu nchini,
kiliwapa mafunzo vijana wao juu ya namna ya kua na mihemko ili kuporomosha matusi kwa ustadi pale wanapokua hawana hoja.
Naona hizi ni miongoni mwa athari za moja kwa moja kwenye jamii.
hivi sasa chama hicho cha siasa cha waropokaji na matapeli wa pesa kwenye mikutano yao ya hadhara, kimeunda kikundi cha kushangilia vifo vya waTanzania wanaoaga dunia kwa namna mbalimbali, na wanalipwa kabisa.
so,
hongera jaji mkuu kwa kukemea utovu huo wa nidhamu kwa vijana hao.
ni matumaini yangu hatua zaidi za kuwachukulia, ziko jikoni.
Mungu Ibariki Tanzania
Wakafunfishwe tabia njema na hizi taasisi zinaongoza kwa kula rushwa? Ww ni wale watu mnaona watu wana heshima kisa wanavaa suti.Ma Genz ni vijana wa hovyo yeye wakifikishwa mahakamani ni kuwasweka ndani tu wakajifunze tabia njema
"Hawajafunzwa na mama zao hao....."
Chama chochote cha siasa kinachokiuka sheria na masharti mahususi ya usajili wake kinastahili kufutwa gentleman kwa mujibu wa sheria, na hiyo sio tamaa yangu 🐒Kaka una hamu chadema ifutwe 😆 😂
Ishu ni simple tu, mfumo wa vyama vingi ufutwe,
Mpaka ambapo atakuja kiongozi ambae atakuwa tayari kusikiliza mawazo ya watu wengine 😄
Haina maana kuwa na mfumo wa vyama vingi then inakuwa like mfuko wa mbele wa suruali yako haujui mfuko wa nyuma ni nani
Viongozi gani, hakuna kiongozi anaingia madarakani kwa kura za wizi. Huyo sio kiongozi bali ni jizi lililohodhi madarakaSure gentleman, uko sahihi 100%
chadema imekua genge la kihaifu baada ya kua kiwanda cha kuporomosha matusi na kushangilia vifo vya wanadamu wenzao kwa muda mrefu sana.
ni muhimu hatua zaidi ya kukemea zikachukuliwa dhidi ya waporomosha matusi hao wanaopewa mafunzo ya kutukana viongozi na wanaofadhiliwa na chadema.
Chama chochote cha siasa kinachokiuka sheria na masharti mahususi ya usajili wake kinastahili kufutwa gentleman kwa mujibu wa sheria, na hiyo sio tamaa yangu 🐒
Masharti ya kunyenyekea ccm yameshapitwa na wakati. Mlikiburuza kizazi cha wajinga na waoga. Kwa sasa mambo yamebadilika, hata cdm ifutwe leo, ccm haina wa kuwaburuza tena. Si juzi cdm walikuwa wamefungiwa, na hawakushiriki uchaguzi, lakini ikabidi mmwage damu za kutosha kukaa madarakani?Chama chochote cha siasa kinachokiuka sheria na masharti mahususi ya usajili wake kinastahili kufutwa gentleman kwa mujibu wa sheria, na hiyo sio tamaa yangu 🐒
hakuna mahali nimesema wala kueleza hivyo, ni wew umesema gentleman.Unataka kusema ccm since kimeanza hakijawahi kukiuka sheria? Mbona hakijafutwa?
Sisi Tanzania mambo ya vyama vya upinzani bado
Tunaitaji miaka 100 mingine
unaweza kua na hoja ila mihemko na kiburi nonsense kamwe hakiwezi kubadili chochote kokote Tanzania gentleman,Masharti ya kunyenyekea ccm yameshapitwa na wakati. Mlikiburuza kizazi cha wajinga na waoga. Kwa sasa mambo yamebadilika, hata cdm ifutwe leo, ccm haina wa kuwaburuza tena. Si juzi cdm walikuwa wamefungiwa, na hawakushiriki uchaguzi, lakini ikabidi mmwage damu za kutosha kukaa madarakani?
Ccm iko nje ya muda, itatoka kwa umwagaji mkubwa wa damu kama haiamini kuwa haitakiwe tena.
hakuna mahali nimesema wala kueleza hivyo, ni wew umesema gentleman.
In fact,
Tanzania needs united and vibrant opposition na sio hawa waropokaji nonsense 🐒
Tunaandika hukumu, wenye intrest nazo wanazisoma, mahakimu wana hekima hawa, acha tu. Majaji mkiwaona muwaheshimu, halafu wengine wameanzisha tabia ya kuwatukana Majaji, mahakimu na nini, si mnaita Generetion Z, kizazi gani hicho kisichokuwa na hekima hata kwa watu wazima
hakuna mahali duniani kuna demokrasia ya aina hiyo gentlemanUwezi kuwa na chama upinzani then kinakubaliana na sera zako, huo sio upinzani,
Sasa hapa tunataka upinzani ambao unakubaliana na ccm kwa kila kitu, sasa huo upinzani gani?
Kaka nenda zanzibar ukaone dubai mpya, nenda zanzibar ukaone barabara za lami
Sijui kama unajua zanzibar hakuna masoko ya tope kama haya ya kwetu
Sijui kama unajua zanzibar hakuna barabara za matope kama zile alizotembelea mkuu wa mkoa wa dar leo
5yrs to come tutaingia zanzibar kwa visa
Hapa kwetu tupo kupambana na chadema na watu wenye mawazo tofauti
Vyama vingi bara vifutwe
Nasema hivi, kizazi cha wajinga na waoga kimeisha. Kama mtaji wenu mkubwa umeondoka, ni suala la kukubali wakati ukuta. Mtatoka madarakani kwa umwagaji mkubwa wa damu. Tunza Uzi huu utafanya rejea iwapo utakuwa hai.unaweza kua na hoja ila mihemko na kiburi nonsense kamwe hakiwezi kubadili chochote kokote Tanzania gentleman,
Lakini pia,
hakuna na hayupo wa kuiondoa CCM madarakani duniani kote 🐒
mmebaki malofa wafuata mkumbo tu, right?🐒Nasema hivi, kizazi cha wajinga na waoga kimeisha. Kama mtaji wenu mkubwa umeondoka, ni suala la kukubali wakati ukuta. Mtatoka madarakani kwa umwagaji mkubwa wa damu. Tunza Uzi huu utafanya rejea iwapo utakuwa hai.
Ni kweli🌈mmebaki malofa wafuata mkumbo tu, right?🐒
Itabidi magereza ziongezwe sasa 🤣🤣🤣Kwa sasa mtu akidakwa katukana, ukienda mahakamani hutoboi, wanakukomesha
CJ Mwingine rubbish🚮🚮🚮🚮Tunaandika hukumu, wenye intrest nazo wanazisoma, mahakimu wana hekima hawa, acha tu. Majaji mkiwaona muwaheshimu, halafu wengine wameanzisha tabia ya kuwatukana Majaji, mahakimu na nini, si mnaita Generetion Z, kizazi gani hicho kisichokuwa na hekima hata kwa watu wazima
hakuna mahali duniani kuna demokrasia ya aina hiyo gentleman
Kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, chama cha siasa kinachoshinda uchaguzi ndicho kinachoongoza nchi na kutekeleza ilani yake ya uchaguzi kadiri ilivyoahidi wapiga kura.
wapinzani wanawajibika kusimamia na kuiwajibisha serikali kutekeleza ilani hiyo kadiri ilivyoahidi wananchi.
Sasa Tz,
upinzani hawajui hata wanadai nini, wanatetea nini au wana agenda gani zaidi ya kutapeli wananchi pesa zao🐒
udai lisu aache kutembea na kontena la ubwabwa mpaka mahakamani 🐒Vyama vyote mtaji wao ni ela za maskini,
Hayo wanayodai chadema ndio upinzani,
Sasa ww ulitaka upinzani udai kitu gani?