makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Ma tackle yake
Kukosolewa kwenu mnaita matusi wapuuzi sana nyieKujitambua ndio kutukana?
Hovyo kabisa
Unakosoa kwa matusi?, matoto ya majanini mna shida sana nyinyiKukosolewa kwenu mnaita matusi wapuuzi sana nyie
Ulishafirwa?Kwa hiyo ni bora watu watekwe, wafirwe, wachinjwe, haki zivunjwe lakini tuendelee kuwaheshimu majaji. Pumbavu kabisa. takataka.
We ngoja tu. Siku zinakuja nchi itawaka moto tu.
Huko tunakokwenda ni muhimu Wazee wakajifunza jinsi ya kuishi na GenZ.
Hakutakuwa na kitu kinaitwa maadili ya kitanzania.
Tulishakubaliana Dunia ni kijiji.
Mambo ya kukubali kitu sababu anaesema na mzee hakuna.
Watakukomoa according to Law au?Kwa sasa mtu akidakwa katukana, ukienda mahakamani hutoboi, wanakukomesha
Huna akili , umasikini umekuathiri pakubwa.Ulishafirwa?
Vijana wa hovyo mnazungumza mambo ya kufikirika tu na matusi juu
Utawaka moto wewe na wapuuzi wenzio sio nchi, kama mnajidanganya mtapata tena nafasi mliyopata kufanya upuuzi, tutashtakiana kwa Mungu
Wapuuzi wakubwa
Weka ayo matusi aliyotukana jinga wewe!Unakosoa kwa matusi?, matoto ya majanini mna shida sana nyinyi
Historia inaonesha kuna watu walikuwa katali sana, wanaogopewa sana sana. Tumesoma historia za kina sadam Hussein, Ghadafi lakini siku kilipowaka walijificha na kukimbia. Hata Tanzania CCM na kiburi chake kitawaka tu. mark my word. Watakimbia na wengine watajifanya hawakuwa CCM.Ulishafirwa?
Vijana wa hovyo mnazungumza mambo ya kufikirika tu na matusi juu
Utawaka moto wewe na wapuuzi wenzio sio nchi, kama mnajidanganya mtapata tena nafasi mliyopata kufanya upuuzi, tutashtakiana kwa Mungu
Wapuuzi wakubwa
Mngekuwa na akili nchi ingeendelea, lakini tunashindana na Burundi mkianiUnakosoa kwa matusi?, matoto ya majanini mna shida sana nyinyi
Mimi au wewe?Huna akili , umasikini umekuathiri pakubwa.
Kwa haya ya kina Jaji Mwangawaheshimiane wenyewe.
Wacha weeeeMa Genz ni vijana wa hovyo yeye wakifikishwa mahakamani ni kuwasweka ndani tu wakajifunze tabia njema
"Hawajafunzwa na mama zao hao....."
Reports kibao zinaonesha mahakama na polisi ndiyo vinara wa rushwa nchi hii.
Angewakemea na hao wala rushwa kwenye mhimili anaouongoza sababu ni hatari kuliko hata matusi ya hao vijana.
Faki zati sonofabitch! Hakimu au jaji asiyetenda haki anastahili kuheshimiwa na nani, kwa lipi? Faki zem all.Tunaandika hukumu, wenye intrest nazo wanazisoma, mahakimu wana hekima hawa, acha tu. Majaji mkiwaona muwaheshimu, halafu wengine wameanzisha tabia ya kuwatukana Majaji, mahakimu na nini, si mnaita Generetion Z, kizazi gani hicho kisichokuwa na hekima hata kwa watu wazima
Kizazi kimebadilika, hiki ni kizazi cha kuhoji, si kile kizazi cha kuambiwa mzazi hakosei. Mahakama inatumika waziwazi hadi inadharaulika na watoto. Ili mahakama ipate heshima inapaswa kutenda haki, na sio kutumika na viongozi majizi.Ma Genz ni vijana wa hovyo yeye wakifikishwa mahakamani ni kuwasweka ndani tu wakajifunze tabia njema
"Hawajafunzwa na mama zao hao....."
Tunaandika hukumu, wenye intrest nazo wanazisoma, mahakimu wana hekima hawa, acha tu. Majaji mkiwaona muwaheshimu, halafu wengine wameanzisha tabia ya kuwatukana Majaji, mahakimu na nini, si mnaita Generetion Z, kizazi gani hicho kisichokuwa na hekima hata kwa watu wazi
Watu wazima wala rushwa, wauaji, wafiraji, kama jaji Mwanga kweli aheshimiwe?...waheshimiwe kweli? Masaju waeleze watanzania kwanini oesinya Lisu imepaki CoA?gani hicho kisichokuwa na hekima hata kwa watu wazima