Jaji Mkuu awakemea Gen Z wanaotukana Mahakama na Majaji

Jaji Mkuu awakemea Gen Z wanaotukana Mahakama na Majaji

Ulishafirwa?
Vijana wa hovyo mnazungumza mambo ya kufikirika tu na matusi juu

Utawaka moto wewe na wapuuzi wenzio sio nchi, kama mnajidanganya mtapata tena nafasi mliyopata kufanya upuuzi, tutashtakiana kwa Mungu

Wapuuzi wakubwa
Mungu yupi?Mungu ninayemjua mimi hana ushirika na wauaji na mafisadi
 
Tunaandika hukumu, wenye interest nazo wanazisoma, mahakimu wana hekima hawa, acha tu.

Majaji mkiwaona muwaheshimu, halafu wengine wameanzisha tabia ya kuwatukana Majaji, mahakimu na nini, si mnaita Generetion Z, kizazi gani hicho kisichokuwa na hekima hata kwa watu wazima?
MaJsji, mahskimu wengine ni wala rushwa tu kama polisi.
 
Wazee watambue kuwa vijana wa cku hizi hawadanganyiki na wakubali kwenda na nyakati. Hao wazee ndio wametufika tulipo kwa kuwaabudu na uzee wao na mwisho wa siku maisha ndio haya. Jaji ujue kwamba kwa sasa wewe unaenda chini na vyema ukafanya lililojema ili badae uishi nao vizuri. Lakin kuwakandamiza kwa kisingizio ati hawa adabu hapo mmefeli. Hichi ni kizazi kinachoamini kila swala ni la mda. Siku hizi hata kwenye daladada hakuna cha mzee ni mwendo wa kushikilia bomba na kijana kakaa kwene siti. Wazee gani instead mkemee mabaya yanayofanywa na wenzenu kazi kusema gen z shame on you. "HATUDANGANYIKI NA HATUOGOPI". Wembe ni ule ule na mwendo ni ule ule
 
Huko tunakokwenda ni muhimu Wazee wakajifunza jinsi ya kuishi na GenZ.

Hakutakuwa na kitu kinaitwa maadili ya kitanzania.
Tulishakubaliana Dunia ni kijiji.
Mambo ya kukubali kitu sababu anaesema na mzee hakuna.
Teh teh 😃 😃 kuheshimu wazee wetu ni muhimu mkuu, hata kama hatukubaliana na baadhi ya maoni/ mitazamo yao.
 
Sure gentleman, uko sahihi 100%
chadema imekua genge la kihaifu baada ya kua kiwanda cha kuporomosha matusi na kushangilia vifo vya wanadamu wenzao kwa muda mrefu sana.

ni muhimu hatua zaidi ya kukemea zikachukuliwa dhidi ya waporomosha matusi hao wanaopewa mafunzo ya kutukana viongozi na wanaofadhiliwa na chadema.
We jamaa majaji kutukanwa imekuuma sana kuliko watu kutekwa?
 
Teh teh 😃 😃 kuheshimu wazee wetu ni muhimu mkuu, hata kama hatukubaliana na baadhi ya maoni/ mitazamo yao.
Heshima ni muhimu kwa binadamu yeyote yule.
Kila mtu amweshimu mwenzie kwa kuzingatia utu.

Huwezi kufanya mambo ya ovyo halafu ukimbilie kuomba Heshima sababu wewe ni mzee.
 
Hii fikra ya kwamba una cheo fulani hivyo unastahili heshima kwa sababu tu ya hicho cheo wakati unafanya madudu ni fikra potofu.

Ukiwa na cheo fulani utende haki na utapata heshima. Ukifanya madudu jiandae kuaibika. Zama za "Bosi hakosei" zinazidi kuyoyoma.
 
Tunaandika hukumu, wenye interest nazo wanazisoma, mahakimu wana hekima hawa, acha tu.

Majaji mkiwaona muwaheshimu, halafu wengine wameanzisha tabia ya kuwatukana Majaji, mahakimu na nini, si mnaita Generetion Z, kizazi gani hicho kisichokuwa na hekima hata kwa watu wazima?

Huyu jamaa kazi imemshinda. Yeye kila siku ni hotuba tu. Acha wamtukane tu.
 
udai lisu aache kutembea na kontena la ubwabwa mpaka mahakamani 🐒

Ni hali ya kawaida kwa viongozi, unadhani magari 150 kwenye msafara wa kiongozi yale magari mengine uwa yamebeba nini?

Its more than ubwabwa 😄
 
Ni hali ya kawaida kwa viongozi, unadhani magari 150 kwenye msafara wa kiongozi yale magari mengine uwa yamebeba nini?

Its more than ubwabwa 😄
labda ungeiandikia uzi mahususi hiyo gentleman ili tuone namna ya kuchangia
 
Tunaandika hukumu, wenye interest nazo wanazisoma, mahakimu wana hekima hawa, acha tu.

Majaji mkiwaona muwaheshimu, halafu wengine wameanzisha tabia ya kuwatukana Majaji, mahakimu na nini, si mnaita Generetion Z, kizazi gani hicho kisichokuwa na hekima hata kwa watu wazima?
Mbona Jaji warioba hatukanwi
 
Back
Top Bottom