Jaji Mkuu awakemea Gen Z wanaotukana Mahakama na Majaji

Kwa hiyo ni bora watu watekwe, wafirwe, wachinjwe, haki zivunjwe lakini tuendelee kuwaheshimu majaji. Pumbavu kabisa. takataka.
We ngoja tu. Siku zinakuja nchi itawaka moto tu.
Ulishafirwa?
Vijana wa hovyo mnazungumza mambo ya kufikirika tu na matusi juu

Utawaka moto wewe na wapuuzi wenzio sio nchi, kama mnajidanganya mtapata tena nafasi mliyopata kufanya upuuzi, tutashtakiana kwa Mungu

Wapuuzi wakubwa
 
Huko tunakokwenda ni muhimu Wazee wakajifunza jinsi ya kuishi na GenZ.

Hakutakuwa na kitu kinaitwa maadili ya kitanzania.
Tulishakubaliana Dunia ni kijiji.
Mambo ya kukubali kitu sababu anaesema na mzee hakuna.

Waambie tu, If there is no country for us there is no country for them also.

Haiwezekani mtoto tangu siku anazaliwa mpaka anakua ni shida tu, leo hii amekua unaubiri amani/uzalendo ila wakati anasoma chini ya mwembe uliona ni sawa tu.
 
Ulishafirwa?
Vijana wa hovyo mnazungumza mambo ya kufikirika tu na matusi juu

Utawaka moto wewe na wapuuzi wenzio sio nchi, kama mnajidanganya mtapata tena nafasi mliyopata kufanya upuuzi, tutashtakiana kwa Mungu

Wapuuzi wakubwa
Huna akili , umasikini umekuathiri pakubwa.
 
Ulishafirwa?
Vijana wa hovyo mnazungumza mambo ya kufikirika tu na matusi juu

Utawaka moto wewe na wapuuzi wenzio sio nchi, kama mnajidanganya mtapata tena nafasi mliyopata kufanya upuuzi, tutashtakiana kwa Mungu

Wapuuzi wakubwa
Historia inaonesha kuna watu walikuwa katali sana, wanaogopewa sana sana. Tumesoma historia za kina sadam Hussein, Ghadafi lakini siku kilipowaka walijificha na kukimbia. Hata Tanzania CCM na kiburi chake kitawaka tu. mark my word. Watakimbia na wengine watajifanya hawakuwa CCM.
 
Reports kibao zinaonesha mahakama na polisi ndiyo vinara wa rushwa nchi hii.

Angewakemea na hao wala rushwa kwenye mhimili anaouongoza sababu ni hatari kuliko hata matusi ya hao vijana.
 
Kuwaheshimu wadhulumaji haki ni kuungana nao katika ushetani wao.

Hii nchi siku ikikombloewa italazimu kuitengeneza upya:
Futa mahakama na majani bandia, unda mahakama mpya na kupata majani wapya.

Futa PoliCCM, unda upya.

Futa Bunge bandia, tengeneza Bunge la kweli.
 
Reports kibao zinaonesha mahakama na polisi ndiyo vinara wa rushwa nchi hii.

Angewakemea na hao wala rushwa kwenye mhimili anaouongoza sababu ni hatari kuliko hata matusi ya hao vijana.


Miaka yote, Mahakama na Polisi ndio washindi kwenye rushwa.
 
Faki zati sonofabitch! Hakimu au jaji asiyetenda haki anastahili kuheshimiwa na nani, kwa lipi? Faki zem all.
 
Ma Genz ni vijana wa hovyo yeye wakifikishwa mahakamani ni kuwasweka ndani tu wakajifunze tabia njema

"Hawajafunzwa na mama zao hao....."
Kizazi kimebadilika, hiki ni kizazi cha kuhoji, si kile kizazi cha kuambiwa mzazi hakosei. Mahakama inatumika waziwazi hadi inadharaulika na watoto. Ili mahakama ipate heshima inapaswa kutenda haki, na sio kutumika na viongozi majizi.

Gen Z tukana matusi ya nguoni hao majaji toilet paper hadi wachanganyikiwe. Na inatakiwa machafuko mengine yakitokea ni kuchoma nyumba za hao majaji iwe fundisho.
 

gani hicho kisichokuwa na hekima hata kwa watu wazima
Watu wazima wala rushwa, wauaji, wafiraji, kama jaji Mwanga kweli aheshimiwe?...waheshimiwe kweli? Masaju waeleze watanzania kwanini oesinya Lisu imepaki CoA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…