Jaji Mkuu awakemea Gen Z wanaotukana Mahakama na Majaji

Watoe sababu ya wao kuwaheshimu ? Na kwanini wanalazimisha kuheshimika ?
 
Kaka una hamu chadema ifutwe 😆 😂

Ishu ni simple tu, mfumo wa vyama vingi ufutwe,

Mpaka ambapo atakuja kiongozi ambae atakuwa tayari kusikiliza mawazo ya watu wengine 😄

Haina maana kuwa na mfumo wa vyama vingi then inakuwa like mfuko wa mbele wa suruali yako haujui mfuko wa nyuma ni nani
 
Ma Genz ni vijana wa hovyo yeye wakifikishwa mahakamani ni kuwasweka ndani tu wakajifunze tabia njema

"Hawajafunzwa na mama zao hao....."
Wakafunfishwe tabia njema na hizi taasisi zinaongoza kwa kula rushwa? Ww ni wale watu mnaona watu wana heshima kisa wanavaa suti.
 
Chama chochote cha siasa kinachokiuka sheria na masharti mahususi ya usajili wake kinastahili kufutwa gentleman kwa mujibu wa sheria, na hiyo sio tamaa yangu 🐒
 
Viongozi gani, hakuna kiongozi anaingia madarakani kwa kura za wizi. Huyo sio kiongozi bali ni jizi lililohodhi madaraka
 
Chama chochote cha siasa kinachokiuka sheria na masharti mahususi ya usajili wake kinastahili kufutwa gentleman kwa mujibu wa sheria, na hiyo sio tamaa yangu 🐒

Unataka kusema ccm since kimeanza hakijawahi kukiuka sheria? Mbona hakijafutwa?

Sisi Tanzania mambo ya vyama vya upinzani bado

Tunaitaji miaka 100 mingine

Angalia wenzetu zanzibar wanavyodeal na mambo yao ya siasa,

Ndio maana inchi yao kwa sasa inapiga hatua kubwa sana

Sisi hapa kwetu ni mwendo wa kukomoana na kuhisi by doing that Rais atafurahishwa big no
 
Chama chochote cha siasa kinachokiuka sheria na masharti mahususi ya usajili wake kinastahili kufutwa gentleman kwa mujibu wa sheria, na hiyo sio tamaa yangu 🐒
Masharti ya kunyenyekea ccm yameshapitwa na wakati. Mlikiburuza kizazi cha wajinga na waoga. Kwa sasa mambo yamebadilika, hata cdm ifutwe leo, ccm haina wa kuwaburuza tena. Si juzi cdm walikuwa wamefungiwa, na hawakushiriki uchaguzi, lakini ikabidi mmwage damu za kutosha kukaa madarakani?

Ccm iko nje ya muda, itatoka kwa umwagaji mkubwa wa damu kama haiamini kuwa haitakiwe tena.
 
Unataka kusema ccm since kimeanza hakijawahi kukiuka sheria? Mbona hakijafutwa?

Sisi Tanzania mambo ya vyama vya upinzani bado

Tunaitaji miaka 100 mingine
hakuna mahali nimesema wala kueleza hivyo, ni wew umesema gentleman.

In fact,
Tanzania needs united and vibrant opposition na sio hawa waropokaji nonsense 🐒
 
unaweza kua na hoja ila mihemko na kiburi nonsense kamwe hakiwezi kubadili chochote kokote Tanzania gentleman,

Lakini pia,
hakuna na hayupo wa kuiondoa CCM madarakani duniani kote 🐒
 
hakuna mahali nimesema wala kueleza hivyo, ni wew umesema gentleman.

In fact,
Tanzania needs united and vibrant opposition na sio hawa waropokaji nonsense 🐒

Uwezi kuwa na chama upinzani then kinakubaliana na sera zako, huo sio upinzani,

Sasa hapa tunataka upinzani ambao unakubaliana na ccm kwa kila kitu, sasa huo upinzani gani?

Kaka nenda zanzibar ukaone dubai mpya, nenda zanzibar ukaone barabara za lami

Sijui kama unajua zanzibar hakuna masoko ya tope kama haya ya kwetu

Sijui kama unajua zanzibar hakuna barabara za matope kama zile alizotembelea mkuu wa mkoa wa dar leo

5yrs to come tutaingia zanzibar kwa visa

Hapa kwetu tupo kupambana na chadema na watu wenye mawazo tofauti

Vyama vingi bara vifutwe
 
waheshimiwe kwa lipi? heshima sio umri tu! yaani watawaheshimu wauaji na watekaji msijidanganye kabisa
 
hakuna mahali duniani kuna demokrasia ya aina hiyo gentleman

Kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, chama cha siasa kinachoshinda uchaguzi ndicho kinachoongoza nchi na kutekeleza ilani yake ya uchaguzi kadiri ilivyoahidi wapiga kura.

wapinzani wanawajibika kusimamia na kuiwajibisha serikali kutekeleza ilani hiyo kadiri ilivyoahidi wananchi.

Sasa Tz,
upinzani hawajui hata wanadai nini, wanatetea nini au wana agenda gani zaidi ya kutapeli wananchi pesa zao🐒
 
Kwani mahakama haina kitengo cha utafiti? Kama hakipo jaji mkuu sana Masaju kiunde ili kifanye utafiti wa kwanini mahakama na watendaji wake wanadharaulika sana siku hizi kuliko polisi na waalimu ili upunguze lawama kwa vijana.
Najua unajua sababu za vijana kuwatolea lugha zisizo za staha ila unajizima data ili njia ya kuendea chooni isiote nyasi! Epuka kulipack tatizo, litatue kabla halijawa sugu!
 
unaweza kua na hoja ila mihemko na kiburi nonsense kamwe hakiwezi kubadili chochote kokote Tanzania gentleman,

Lakini pia,
hakuna na hayupo wa kuiondoa CCM madarakani duniani kote 🐒
Nasema hivi, kizazi cha wajinga na waoga kimeisha. Kama mtaji wenu mkubwa umeondoka, ni suala la kukubali wakati ukuta. Mtatoka madarakani kwa umwagaji mkubwa wa damu. Tunza Uzi huu utafanya rejea iwapo utakuwa hai.
 
mmebaki malofa wafuata mkumbo tu, right?🐒
 
CJ Mwingine rubbish🚮🚮🚮🚮
 
Vyama vyote mtaji wao ni ela za maskini,

Hayo wanayodai chadema ndio upinzani,

Sasa ww ulitaka upinzani udai kitu gani?
 
Vyama vyote mtaji wao ni ela za maskini,

Hayo wanayodai chadema ndio upinzani,

Sasa ww ulitaka upinzani udai kitu gani?
udai lisu aache kutembea na kontena la ubwabwa mpaka mahakamani 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…