Uchumiwakati
JF-Expert Member
- Jul 29, 2020
- 407
- 745
Mungu yupi?Mungu ninayemjua mimi hana ushirika na wauaji na mafisadiUlishafirwa?
Vijana wa hovyo mnazungumza mambo ya kufikirika tu na matusi juu
Utawaka moto wewe na wapuuzi wenzio sio nchi, kama mnajidanganya mtapata tena nafasi mliyopata kufanya upuuzi, tutashtakiana kwa Mungu
Wapuuzi wakubwa
MaJsji, mahskimu wengine ni wala rushwa tu kama polisi.Tunaandika hukumu, wenye interest nazo wanazisoma, mahakimu wana hekima hawa, acha tu.
Majaji mkiwaona muwaheshimu, halafu wengine wameanzisha tabia ya kuwatukana Majaji, mahakimu na nini, si mnaita Generetion Z, kizazi gani hicho kisichokuwa na hekima hata kwa watu wazima?
Teh teh π π kuheshimu wazee wetu ni muhimu mkuu, hata kama hatukubaliana na baadhi ya maoni/ mitazamo yao.Huko tunakokwenda ni muhimu Wazee wakajifunza jinsi ya kuishi na GenZ.
Hakutakuwa na kitu kinaitwa maadili ya kitanzania.
Tulishakubaliana Dunia ni kijiji.
Mambo ya kukubali kitu sababu anaesema na mzee hakuna.
We jamaa majaji kutukanwa imekuuma sana kuliko watu kutekwa?Sure gentleman, uko sahihi 100%
chadema imekua genge la kihaifu baada ya kua kiwanda cha kuporomosha matusi na kushangilia vifo vya wanadamu wenzao kwa muda mrefu sana.
ni muhimu hatua zaidi ya kukemea zikachukuliwa dhidi ya waporomosha matusi hao wanaopewa mafunzo ya kutukana viongozi na wanaofadhiliwa na chadema.
si ungeandika uzi mahususi kuhusu hilo gentleman?We jamaa majaji kutukanwa imekuuma sana kuliko watu kutekwa?
Heshima ni muhimu kwa binadamu yeyote yule.Teh teh π π kuheshimu wazee wetu ni muhimu mkuu, hata kama hatukubaliana na baadhi ya maoni/ mitazamo yao.
Tunaandika hukumu, wenye interest nazo wanazisoma, mahakimu wana hekima hawa, acha tu.
Majaji mkiwaona muwaheshimu, halafu wengine wameanzisha tabia ya kuwatukana Majaji, mahakimu na nini, si mnaita Generetion Z, kizazi gani hicho kisichokuwa na hekima hata kwa watu wazima?
udai lisu aache kutembea na kontena la ubwabwa mpaka mahakamani π
labda ungeiandikia uzi mahususi hiyo gentleman ili tuone namna ya kuchangiaNi hali ya kawaida kwa viongozi, unadhani magari 150 kwenye msafara wa kiongozi yale magari mengine uwa yamebeba nini?
Its more than ubwabwa π
Mbona Jaji warioba hatukanwiMa Genz ni vijana wa hovyo yeye wakifikishwa mahakamani ni kuwasweka ndani tu wakajifunze tabia njema
"Hawajafunzwa na mama zao hao....."
Mbona Jaji warioba hatukanwiTunaandika hukumu, wenye interest nazo wanazisoma, mahakimu wana hekima hawa, acha tu.
Majaji mkiwaona muwaheshimu, halafu wengine wameanzisha tabia ya kuwatukana Majaji, mahakimu na nini, si mnaita Generetion Z, kizazi gani hicho kisichokuwa na hekima hata kwa watu wazima?