Leo hii
Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani,
Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja,
Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha,
Akasema hivi unakumbuka ziara za kiongozi na wafanyabiashara wakubwa, nikasema ndio, akaendelea pale ilikua kuonyeshwa kua percent za wenzako hua ziko hivi kama utakua upande wetu.
Akaeleza kua Kwa akili ya kawaida ndugai unadhani alisema Kwa bahati mbaya ile kauli? Nikakaa kimya tu namwangalia jaji,
Akasema upigaji awamu hii ni kufuru yaani wana mtandao wanapiga na makundi yao na kama haitoshi hata mabilioni yanayokopwa kupelekwa kwenye miradi hayafiki kama inavokusudiwa.
Akadai kua kushuka Kwa thamani ya shilingi Kwa sasa ni cha mtoto miaka mitatu mbele dola moja itafika hadi tsh 3500 au 4000 , na mfumuko wa bei itakua balaa Kwa sababu uchumi hauna control Kwa sasa,
Jaji akasema awamu iliyopita utakatishaji wa fedha haukua mkubwa kama ilivo wakati huu mambo yameharibika na sijui itakuaje mbeleni huko.
Tukawa tumeachana hapo nikaenda zangu nilikokua naelekea lakini inasikitisha sana.