Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

Uchaguzi huu kijana usipojenga basi huna Network - nitafute mapema.
Mchuzi wa mbwa.....
 
Ama kweli hii nchi imeshakuwa SHAMBA LA BIBI.
Swali ni je,kama wamekosa utu vipi kuhusu huruma na hofu ya MUNGU??
Inakuwaje mtu unapewa maslahi MAZURI alafu bado unawanyang'anya wanyonge kile kidogo walichopata kwa JASHO!!

HUU NI UBINAFSI WA HALI YA JUU
 
Mwambie jaji atulie wakati wake umekwisha.Ajitahidi kufuata masharti ikiwemo kumeza vizuri dawa zake za presha na sukari na awe makini asijeanza dialysis 😂
Mwisho jaji alishauri nini kifanyike au ni kutupandisha hasira tu
 
Okie
Yaani awamu ambayo Ufisadi umeongezeka ndio awamu imeleta Mageuzi makubwa ya Elimu kuanzia nursury Hadi Chuo kikuu ambao ndio msingi wa Maendeleo.

Kama Ina Ufisadi imewezaje kujenga Vyuo vya Veta 63+29=92 Kwa miaka 3 harafu awamu ambazo Hazina Ufisadi zilishindwa? 👇👇

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1801495536547037435?t=3bUtQwQQpSME9AaUO1YYgw&s=19

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1740681578517504465?t=WU2Vq8WgRFibxfVc4L9KfQ&s=19

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1590686155313360897?t=Mqn-CxZXjq8HlpRv7ur8wQ&s=19

Niongeze?
 
Vitu vidogo Sana hivi ilibidi viwepo kila kituo Cha afyaa,, Yani sita tu
Kwanza nasikia bei ya MRI moja ni sawa na VXR V8 moja....sasa kwenye misafara ziko MRI ngapi hata aone kuwa hiyo ni hatua kubwa ki-nchi?

Omba sana Mungu akupe ubongo wa kufikiri, kutumia makalio kufikiri ni laana!
 
Vitu vidogo Sana hivi ilibidi viwepo kila kituo Cha afyaa,, Yani sita tu
Vidogo sio? Wakati maelfu ya Watoto wanakufa baada ya kuzaliwa Kwa kukosa Huduma kwako ni vidogo au vipi?
20240513_115049.jpg
20240513_123234.jpg
20240513_123231.jpg
20240513_115046.jpg


Vidogo? Unajua uwekezaji wa Afya Kwa miaka 3 umekula Trilioni ngapi? Au unajua hata Bajeti ya Afya wewe au unaropoka tuu?

Vidogo viliwashindwa Kwa miaka 60,haya vikubwa mlivyofanya ambavyo Samia ameshindwa ni vipi?
 
So, kwa akili yako mbovu hiki ndio kipimo cha kukataa nchi hii kwa sasa hakuna ufisadi wa kutisha?

• Ule wa Bashe na mambo yake ya vibali vya sukari na ule mradi hewa wa BBT.

• Mwigulu na tozo zake kila siku kwenye miamala ya simu tusizojua zinatumikaje.

• Bandari kupewa waarabu, misitu karibia hekari 8000 kupewa waarabu, madini ya kimkakati na sehemu ya bahari kupewa wakorea.

• Ngorongoro na Loliondo kufukuzwa wamasai na kupewa waarabu.

• Uwanja wa ndege wa KIA kupewa waarabu, huku jamii ya jirani wakifukuzwa.

Kwa akili zako mbovu unataka kusema huo ufisadi wote hapo juu tutulie kwasababu tuna mashine sita za MRI?!.

Chawa mjinga wa mama Abdul usie na akili.
Bado hujataja Wala kuthibitisha Ufisadi Bali unazunguka zunguka na stori za kijinga.

Kuhamisha wamasai Ngorongoro inakuaje ni Ufisadi?

Wafanyabiashara wajanja wajanja ku delay kuleta Sukari inakuaje ni Ufisadi?

Uwanja kupewa wawekezaji wa kiarabu inakuaje ni Ufisadi?

Bandari kubinafsishwa Kwa Waarabu na wahindi inakuaje Ufisadi?

Tozo zinakuje ni Ufisadi?

Nasisitiza wakati hakuna Ufisadi Kwa nini haya yalishindikana na yajawezekana zama za Ufisadi? Mpaka hapo huu ndio Ufisadi unaotakiwa Sasa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C8fB4RLsgqd/?igsh=bmJwNXJ2bGQ2cTB5

Matokeo ya Ufisadi wa awamu ya 6 ndio haya Sasa 👇👇

View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1793160304496418938?t=6BRGE6enaVzyi58PdTwTLQ&s=19
 
Back
Top Bottom