Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

Uchaguzi huu kijana usipojenga basi huna Network - nitafute mapema.
Mchuzi wa mbwa.....
 
Ama kweli hii nchi imeshakuwa SHAMBA LA BIBI.
Swali ni je,kama wamekosa utu vipi kuhusu huruma na hofu ya MUNGU??
Inakuwaje mtu unapewa maslahi MAZURI alafu bado unawanyang'anya wanyonge kile kidogo walichopata kwa JASHO!!

HUU NI UBINAFSI WA HALI YA JUU
 
Mwambie jaji atulie wakati wake umekwisha.Ajitahidi kufuata masharti ikiwemo kumeza vizuri dawa zake za presha na sukari na awe makini asijeanza dialysis πŸ˜‚
Mwisho jaji alishauri nini kifanyike au ni kutupandisha hasira tu
 
Okie
Yaani awamu ambayo Ufisadi umeongezeka ndio awamu imeleta Mageuzi makubwa ya Elimu kuanzia nursury Hadi Chuo kikuu ambao ndio msingi wa Maendeleo.

Kama Ina Ufisadi imewezaje kujenga Vyuo vya Veta 63+29=92 Kwa miaka 3 harafu awamu ambazo Hazina Ufisadi zilishindwa? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1801495536547037435?t=3bUtQwQQpSME9AaUO1YYgw&s=19
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1740681578517504465?t=WU2Vq8WgRFibxfVc4L9KfQ&s=19
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1590686155313360897?t=Mqn-CxZXjq8HlpRv7ur8wQ&s=19
Niongeze?
 
Vitu vidogo Sana hivi ilibidi viwepo kila kituo Cha afyaa,, Yani sita tu
Kwanza nasikia bei ya MRI moja ni sawa na VXR V8 moja....sasa kwenye misafara ziko MRI ngapi hata aone kuwa hiyo ni hatua kubwa ki-nchi?

Omba sana Mungu akupe ubongo wa kufikiri, kutumia makalio kufikiri ni laana!
 
Vitu vidogo Sana hivi ilibidi viwepo kila kituo Cha afyaa,, Yani sita tu
Vidogo sio? Wakati maelfu ya Watoto wanakufa baada ya kuzaliwa Kwa kukosa Huduma kwako ni vidogo au vipi?


Vidogo? Unajua uwekezaji wa Afya Kwa miaka 3 umekula Trilioni ngapi? Au unajua hata Bajeti ya Afya wewe au unaropoka tuu?

Vidogo viliwashindwa Kwa miaka 60,haya vikubwa mlivyofanya ambavyo Samia ameshindwa ni vipi?
 
Bado hujataja Wala kuthibitisha Ufisadi Bali unazunguka zunguka na stori za kijinga.

Kuhamisha wamasai Ngorongoro inakuaje ni Ufisadi?

Wafanyabiashara wajanja wajanja ku delay kuleta Sukari inakuaje ni Ufisadi?

Uwanja kupewa wawekezaji wa kiarabu inakuaje ni Ufisadi?

Bandari kubinafsishwa Kwa Waarabu na wahindi inakuaje Ufisadi?

Tozo zinakuje ni Ufisadi?

Nasisitiza wakati hakuna Ufisadi Kwa nini haya yalishindikana na yajawezekana zama za Ufisadi? Mpaka hapo huu ndio Ufisadi unaotakiwa Sasa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C8fB4RLsgqd/?igsh=bmJwNXJ2bGQ2cTB5
Matokeo ya Ufisadi wa awamu ya 6 ndio haya Sasa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1793160304496418938?t=6BRGE6enaVzyi58PdTwTLQ&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…