nipo very certain ujumbe wangu umekujeruhi after fully understood it...ndiyo maana mwisho wa reply yako ukamalizia calling names...who cares ??For sure your green brains its not for reasoning!!Sijaelewa hata umeandika nini Mkuu. Hebu tulia halafu rudia kuandika tena ili angalau nikuelewe unachotaka kusema kusudi nisije nikachuma bure dhambi kwa Mwenyezi Mungu kwa kukufananisha Wewe na Matahaira / Wendawazimu.
Roho ya mtu haifi ila humrudia Yeye aliyeitoa..
Kwa Wakristo
Mhubiri 12:7
[7]Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa,
Nayo roho kumrudia Mungu aliyeitoa.
Nasikitika kuwaarifu kuwa Mhe Jaji Upendo Msuya,(rtd) amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Kairuki. Hakika sisi sote ni wa Mungu na kwake yeye tutarejea.
Mada zinazomhusu Jaji Msuya
Maamuzi ya Jaji Upendo Msuya yasababisha watuhumiwa wa madawa ya kulevya kutoweka
Tetesi: - Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi
RC wa Kilimanjaro, Meck Sadiki na Majaji wawili Wajiuzulu. Rais Magufuli aridhia...
NdioR. I. P mh jaji, hivi huyu ndo aliyejiuzuru hivi karibuni
Mimi nilishaacha kutumia hicho kirai. Muhimu ni kufariji familia iliyobaki na pale inapokuwa inahitajika, kuwasaidia kwa hali na mali.Tunaposema RIP mara nyingi twakosea, mtu akifa amekufa hajui chochote kinachoendelea duniani
Zaidi tutoe pole kwa familia yake na ndugu zake na watu waliokuwa karibu naye
Mimi nilishaacha kutumia hicho kirai. Muhimu ni kufariji familia iliyobaki na pale inapokuwa inahitajika, kuwasaidia kwa hali na mali.
Kuna watu wanakesha wakiombea waliokufa, kitu ambacho si sahihi, mtu ukifa yako yameishia hapo.. kama ulikuwa mwema basi mema yako umekufa nayo, kama ulikuwa mtenda mabaya mabaya yako unaingia nayo kaburini hata watu waombe kila siku hakuna kitakacho badilika.....
Kwa imani yako na vitabu unavyosoma wewe hatuna haja kuviamini, wala sio lazima kufuata unachoona wewe kuwa ni sawa, kila mtu ana imani yake na maono yake na mtazamo wake jinsi anavyoamini yeye,
Wewe nani hata utuambie "sio sahihi" kwa nini tukuamini wewe kwa lipi?????
Hakuna aliyekufa akarudi atuambie kama maombi hayo yalimsaidia au hayajamsaidia, kama tuna mwamini Mungu na tunaamini anatusikiliza iweje asisikilize tukiomba kwa ajili ya mpendwa wetu,
Hatuna sababu ya kuiga uvivu wako wa kufikiri. Shame on you !!!!!!
Kweli, halijihuzuru miezi michache hiliyopita. Tumuhombee hapumuzike mahala pema peponi. Hamina.
R. I. P mh jaji, hivi huyu ndo aliyejiuzuru hivi karibuni