TANZIA Jaji Mstaafu wa mahakama Kuu, Upendo Msuya afariki dunia

Kifo ni haki kwa kila kiumbe.. ila sidhani kwa haya anayoyafanya huyu nanihii anakumbuka kwamba atakufa
 
kwenye taaluma ya sheria kujua jaji ametoa hukumu ngapi na ipi more authoritative ni jambo la sifa na ni kawaida. RIP JAJI MSUYA.
 
Waswahili wanasema dunia uwanja wa fujo......kila mtu anafanya fujo zake

na kila mtu akishamaliza hizo fujo anajiondokea kwa wakati wake .....RIP madam judge.
 

Jaji mtaafu(majuzi tu) wa Mahakama Kuu, Upendo Msuya ,amefariki usiku wa kuamkia leo.
 
Tunaposema RIP mara nyingi twakosea, mtu akifa amekufa hajui chochote kinachoendelea duniani

Zaidi tutoe pole kwa familia yake na ndugu zake na watu waliokuwa karibu naye
Sawa, R.I.P wafiwa.
 
Huyu si alitoa dhamana yenye utata kwa wale raia wa pakistan waliyokamatwaga na mzigo wa madawa mwishowe hao wapakistan wakala kona..

Ova
 
Tunaposema RIP mara nyingi twakosea, mtu akifa amekufa hajui chochote kinachoendelea duniani

Zaidi tutoe pole kwa familia yake na ndugu zake na watu waliokuwa karibu naye
Kwa hiyo neno R.I.P litumike vipi ?
 
Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu, Upendo Msuya- aliyejiuzulu Mapema Mwezi Mei Amefariki dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…