Jaji Mustapha Mohamed Siyani aliyekabidhiwa kesi ya Ugaidi ya Mbowe ni nani?

Kabobea sana kwenye mambo ya haki za binadamu huenda akatenda haki tuzidi kumwombea asikengeuke afanyie kazi mamlaka yake
 
Tatizo ni kuwa kuwa Justice of Appeal anatoa mama Ushungi, naye anataka kufika huko. kama mamabo ya dunia yanamhangaisha to excessivee extent ataangukia kifuani mwa shetani.
Tunamuombea ayaache ya dunia amtegemee Mungu, atende haki, then ayapate na maisha ya utukufu wa Mungu after life on earth.
 
1. Hawawajibiki popote.
2. Wana mteuzi wao (master) wa kumfurahisha.
3. Hawa lipi kodi, hivyo wana maslahi yao ya kuyalinda.
4. Kuna mhimili uliojichimbia zaidi wenye matakwa yake.

Hatusubirii dodo kwenye mnazi hapo?
Mfumo mbovu kabisa duniani
 
Wewe jamaa wa hapo machame JPM aliwanyoosha kwa wizi wenu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Bila katiba mpya kuwalalia mlango wazi hao mabwana wasiolipa kodi kama motisha ya kuutambua mhimili uliojichimbia zaidi ni kujilisha upepo tu.
 
Asihukumiwe kwa kudhania, tusubiri maamuzi yake ndiyo tuseme yukoje!
 
Mnawasiwasi sana
Hii ni ishara kwamba ni kweli mbowe alihusika na makosa aliyoshitakiwa
 
Hujui kitu wewe kapuku
We unasema ukiwa kwenye keyboard nina uwezo wa kukuoa kwa mahari utakayotaja.
Na ukawa unaoga tu kunisubiri usifanye kazi. Na pia kukuandisha mirathi kukuhakikishia maisha yako ya baadae
 
We unasema ukiwa kwenye keyboard nina uwezo wa kukuoa kwa mahari utakayotaja.
Na ukawa unaoga tu kunisubiri usifanye kazi. Na pia kukuandisha mirathi kukuhakikishia maisha yako ya baadae
masikini mnaweza uchawi tu
 
Majaji walikuwa akina Nyalali, Mzavas, Rugakingira, Kisanga, Mroso, Korosso, Mrema, Mfalila nk, hawa wa leo sio majaji ni waigizaji na wasaka tonge tu.

Leo hii unakuta eti jaji anakula na wakili ambaye anapewa pesa na mteja wake kisha anamuhonga jaji kisha wanashinda kesi kimagumashi halafu huyo wakili anaonekana kwamba ni mahiri katika kazi yake wakati sio kweli anabebwa na jaji fisadi.

Cha kushangaza zaidi ni kwamba mtu anatolewa Tiss kwenda kutunukiwa ujaji ili aje apewe kesi feki za kubumba kama ya akina Mbowe. Leo hii majaji wanaotokana na Tiss wako wengi sana kwenye Bar.
 
10 September 2021

Mahabusu na wafungwa wamuelezea Jaji M.M. Siyani


Source: Mubashara Studio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…