Jaji Mutungi: Vyama vya siasa vifanye siasa kwa kuheshimu sheria za nchi, kuepuka lugha za uchochezi, dhihaka, dharau, vitisho na matusi

Jaji Mutungi: Vyama vya siasa vifanye siasa kwa kuheshimu sheria za nchi, kuepuka lugha za uchochezi, dhihaka, dharau, vitisho na matusi

Nguruka

Senior Member
Joined
Dec 6, 2006
Posts
189
Reaction score
129
Msajili wa Vyama vya Suasa nchini ameviasa vyamna vya siasa nchini kufanya siasa za kistaarabu na kuvumiliana.

MSAJILI ATOA WITO KWA VYAMA VYA SIASA.jpg
 
... inawahusu wapinzani tu hii! CCM hawahusiki kabisa maana wao ndio wenye nchi; Bunge ni lao; Mahakama ni yao; polisi ni mali yao; ma-DC ni wao; kila kitu ni chao wanaweza kufanya chochote bila kuhitaji kibali wala ruhusa yoyote.
Na unaweza kukuta Mlezi Mwenyewe ni Kada. Akiachia ngazi tu anagombea kwa tiketi ya chama chake.

Amandla...
 
Msajili wa Vyama vya Suasa nchini ameviasa vyamna vya siasa nchini kufanya siasa za kistaarabu na kuvumiliana.

View attachment 1846720
Hivi kumbe hawa watu bado wapo! Hii ni ofisi inayokula kodi yetu bila sababu. Hivi huyu Mutungi na ofisi yake waliwahi kukilea chama gani? Naona anasema yeye na ofisi yake ni walezi wa vyama vya siasa.
 
Back
Top Bottom