Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Natural justice, Karma haijawahi kushindwa.Vifo vyao madhalimu ya haki kama huyo huwa ni mbaya sana.
Fact....Natural justice, Karma haijawahi kushindwa.
What comes around, goes around.
Huyu jamaa amefanya madudu ya hobyo sana.Jaji Jacobs Mwambegele sasa hivi lazina atatembea kichwa chini popote atakapokwenda.
Simply put, Uongo ni dhambi.
Kutengeneza majedwali ya uchaguzi ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini, lakini akayatangaza, imempunguzia heshima mbele ya jamii.
Kiongozi wa nje kuyadharau matokeo haya ya uchaguzi ni Rais Mstaafu Khama wa Botswana.
Jani Mwambegele, kitaifa na kimataifa umenyea kambi, kambi ya haki za kimsingi.
Tatizo la ccm na wapambe wao, hawajali ya nje, Bora ndani ya Tz wao ni vidume wa kufanya vurugu yoyote na hakuna wa kuwafanya lolote, zaidi pesa inaingia, ya nje hawajali.Jaji Jacobs Mwambegele sasa hivi lazina atatembea kichwa chini popote atakapokwenda.
Simply put, Uongo ni dhambi.
Kutengeneza majedwali ya uchaguzi ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini, lakini akayatangaza, imempunguzia heshima mbele ya jamii.
Kiongozi wa nje kuyadharau matokeo haya ya uchaguzi ni Rais Mstaafu Khama wa Botswana.
Jani Mwambegele, kitaifa na kimataifa umenyea kambi, kambi ya haki za kimsingi.
Kofia ya “teeth” inamlindaJaji Jacobs Mwambegele sasa hivi lazina atatembea kichwa chini popote atakapokwenda.
Simply put, Uongo ni dhambi.
Kutengeneza majedwali ya uchaguzi ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini, lakini akayatangaza, imempunguzia heshima mbele ya jamii.
Kiongozi wa nje kuyadharau matokeo haya ya uchaguzi ni Rais Mstaafu Khama wa Botswana.
Jani Mwambegele, kitaifa na kimataifa umenyea kambi, kambi ya haki za kimsingi.
Ni aibu kubwa.Tume hii ya uchaguzi haitosahaulika kamwe, vizazi na vizazi vitapita na kuikumbuka hii tume ya uchaguzi.
Nadhani hata wao walikuwa wanaona aibu. Pia vizazi vyao vitaona aibu kutambulika kwa majina yao.
Ni aibu kubwa.
Ukiwa na kesi yoyote na Jaji ni huyo Mwambegele, inabidi uombe ajitoe kwa kukosa imani naye.
Mtu alyesomea kutoa HAKI, na hatendi HAKI , ni kujidharaulisha nafsi!Huwa hata wanajali manyang'au hawa,kikubwa kwao ni kushika DOLA..
Inabidi uanzishwe mfumo mpya na thabiti wa namna ya kuwapata Majaji wetu..na hili litawezekana tu,tukipata KATIBA MPYA iliyo BORA
Damu za watanzania waliouwawa itawatafuna!Aliyepika na kutangaza matokeo batili ya kenya 2022 alikua anaitwa CHEBUKATI. kiukweli Raila alishinda lkn baada ya Chebumavi kupewa mlungula alimtangaza Ruto. Kumbuka kuna wenzake katika ile tume walijiuzulu ili ile dhambi isiwatafune pamoja na kwamba ile kazi ilikua na marupurupu kibao. Chebumavi went ahead kumtangaza Ruto. Pesa alizohongwa hakuzi enjoy kwani nafsi ilimsuta hadi akafa.
Hivi Mwambegele anahisi alichosema ni sahihi kutoka ndani ya moyo wake?
Time will tell and believe me, karma is a bit
Hivi yule jaji anapokua na familia yake nyumbani huwa wanaongelea nini?Damu za watanzania waliouwawa itawatafuna!
Lazima atakuwa anajiona katumika kama toilet paper.Hivi yule jaji anapokua na familia yake nyumbani huwa wanaongelea nini?
Watu aliosoma naye wanamuonaje?
Kama anaona kawatendea haki watanzania, tutaona.