Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

Kama shahidi wako anatoa ushahidi dhidi yako unakuwa na haki ya kumtangaza kuwa ni "hostile witness" ambapo sasa unakuwa na haki ya kumuuliza maswali ya dodoso (cross examination).
 
Tofauti ya hizo examination mbili kitaalamu ni zipi?
 
Wakae kwa kutulia, this time wamekanyaga pabaya, walizoea kwa mbowe rahisi kurubuniwa.😂😂😂😂
Huyu ametudisapoint wengi sana. Nilimuamini pakubwa. Imeniuma sana kumuona kuzindua bwawa. Pia ameenda kumuona kizimkazi. Gerezaji kwa TAL hawajawahi enda hata mahakamani haji. Ana chuki ya wazi kabisa na TAL
 
Tofauti ya hizo examination mbili kitaalamu ni zipi?
Kwenye "examination -in-chief" upande uliomleta Shahidi, ndio umwongoza Shahidi kuelezea hoja yenye lengo la kujenga kesi au utetezi kwa upande uliomleta.

Ila kwenye Cross examination upande ambao haujamleta Shahidi uuliza maswali, kubomoa hoja zilizotolewa wakati wa "examination -in - chief"
Nadhani kwa kuangalia madhumuni ya hizo taratibu mbili, unaweza ukaona tofauti.
 
To me hii ni habari mbaya kwa lissu

Hao jamaa kama wote wataenda mahakamani then lissu haponi

Mpaka mahakama imeamua hivyo means wamekubali kwenda na wataenda

That's is sad news
Mimi kwa jicho langu naona tutakutana na habari "Kwa maslahi mapana ya taifa,DPP ameamua kutoendelea na kesi"!
Kila nikiwaza naona inakataa,sioni kwa namna yoyote CDF akienda kusimama kizimbani,sioni kabisaa!
 
Ktk kosa watafanya hao jamaa ni kukubali kwenda mahakamani. Naona kabisa Kuna dalili za watu kuaibishwa na kufedheheshwa.
Mimi kwa jicho langu naona tutakutana na habari "Kwa maslahi mapana ya taifa,DPP ameamua kutoendelea na kesi"!
Kila nikiwaza naona inakataa,sioni kwa namna yoyote CDF akienda kusimama kizimbani,sioni kabisaa!
 
Mimi kwa jicho langu naona tutakutana na habari "Kwa maslahi mapana ya taifa,DPP ameamua kutoendelea na kesi"!
Kila nikiwaza naona inakataa,sioni kwa namna yoyote CDF akienda kusimama kizimbani,sioni kabisaa!
Mi naona mawakili wa serikali wakikata rufaa kuomba hao mashahidi wasiende kizimbani, Then hako ka rufaa kanachukua muda fulani lengo ni kubay time na kwendele " kumkomoa" Lissu mana ndiyo lengo lao kuui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…