Jaji warioba apumzike asijiharibie heshima ambayo ilipambwa tu!

Warioba ndiye mwana CCM pekee aliyebaki.
 
Wajinga sana ninyi.
Kuongea ukweli ndiyo kujiharibia sifa?
 
Hujui Dunia wewe
 
Ukweli siku zote una Tabia YA KUUMA.ni kama dawa chungu lakini ndo inaponesha.
Kuambiwa ukweli viongozi wenu hamtaki
Kabisa ukweli unauma… kama ile wa dalali wa upinzani kuuza upinzani
 
Mzee Warioba aliheshimika kwa Watanzania na bado Anaheshimika na Ataendelea kuheshimika zaidi kutokana na misimamo yake ilivyo mpaka sasa !

Au nasema uongo ndugu zanguni !!! 🙏🙏
 
Marvellous 🤩 analysis 🧐 !
🙏🙏
 
Baadhi yetu tumekosa mwelekeo kabisa! Nilisikiliza press conference ya Jaji Warioba, na sikuona sehemu yoyote ya kusema labda kasema uwongo. Kwa bahati mbaya na kama kawaida yetu, badala ya kujibu hoja zake, baadhi yetu tumeanza kumshambulia, wengine wakisema "astaafu siasa." Natoa maoni yangu katika muktadha wa Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (kama ilivyofanyiwa marekebisho hadi mwaka 2005). Ibara 18(a) inasema "Kila mtu ana uhuru wa maoni na kueleza mawazo yake." Ibara hii haisemi mtu akistaafu au akiwa mzee, anakosa huo uhuru au kwamba hana haki ya kutoa maoni na kueleza mawazo yake. Je, ni nani anayemnyima huo uhuru na kwa mujibu wa sheria gani? Je, mtu akistaafu au akiwa mzee, hana haki ya kutoa maoni kuhusu mambo anayoyaona kwa masilahi ya nchi? Kwa mantiki hii naona tumekosa mwelekeo. Some of us no longer have good judgement, and so our ability to distinguish between good and bad or right and wrong is blurred. Why have we reached this stage?
 
Utaonaje alichofanaya Jaji Warioba na wewe ni jinga lao? Ungekuwa hata na asilimia moja ya uwezo wa Jaji Warioba ungejibu hoja zake badala ya kumjadili yeye, huna akili kabisa wewe.
 

Hawa ndo Ccm!
 
Mzee anakwepa majukumu ya kucheze na kulea wajukuu nyumbani, eti nae anajifanya Gen z.

nashauri kwa heshma,
kama Taifa kwa pamoja tumpuuze huyu Mzee, kama ambavyo mara zote akijitokeza kumbwelambwela kwenye vyombo vya habari na mitandaoni anapuuzwa.

ana gubu mbaya sana na serikali sikivu ya CCM lakini pia hana athari zozote kisiasa nchini 🐒
 
Wengine wameaminishwa au wamejiaminisha kwamba kila anayekosoa anatakiwa ashughulikiwe 😳🙄
Hii ni shida kubwa iliyopo kwenye siasa za baadhi ya Nchi !
 
Usiwaingize watanzania wote kwenye huu ujinga ulioandika
 
Hahitaji kulindwa na polisi, hayo ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Jijengee tabia ya kuvumilia ukweli. Magufuli alikuwa shetani katika sura ya binadamu, vitu si utu, na wala usitumie kodi za umma kufanya miradi kadhaa na ndio uitumie kunyima haki za watu. Tuko na Warioba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…